Napendekeza Mange Kimambi agombee urais mwaka 2020

Duh kwa hiyo we humkuabali Mange
Yule sio kama anajua kila kitu huwa anarushiwa informations na kuzipost so msifie anaemrushia infors yule kinachompa credit ni kujibanza ughaibuni.Sijawahi kumkubari huyu dada.
 
Yule sio kama anajua kila kitu huwa anarushiwa informations na kuzipost so msifie anaemrushia infors yule kinachompa credit ni kujibanza ughaibuni.Sijawahi kumkubari huyu dada.
Haaa haaaa we utakuwa na chuki binafsi
 
Habari za Jumapili wanajamvi.
Huyu mama Mange Kimambi ni jasiri, anakubalika na rika zote, anatetea wanyonge, ni mvumilivu, mpole na mpenda haki.

Amefichua maouvu mengi sana hapa nchini. Na kila mtu ana imani kubwa kuwa Mange ni mkombozi wetu.

Kwa kipindi kifupi ameweza kuiteka nchi nzima hadi tumemsahau kamanda wetu Lisu kule Ulaya.

Nikiwa mwana ukawa kindakindaki naomba sana viongozi wangu tumkabidhi kijiti Mange ili aokoe hichi kizazi.

Ikiwa atapitishwa na ukawa hakuna mtu wa CCm wa kumshinda Mange.

Naomba kuwasilisha
zero brain tu ndio wanamkubali...MJICHEKI
 
hapna kwa sasa Mange ana influency kubwa kuliko mtu yeyote hapa Tanzania. Na kwa Tanzania ya sasa Mange ndio chaguo sahihi kabisa

Influence ya Umbeya. Sawa. Mchagueni aje. Sijui hata kama ataweza kuongoza hata kwa wiki. Mana Moral And ethical authority yake ni negative. Nyuchi alizotuwekea na matusi ndo iwe nembo ya TZ. Kweli CDM jitafakarini.
 
Akiwa raia namba 1, si atakuwa na washauri wa mambo mbali mbali kwa hiyo atabadilika tu ondoa shaka

Hayo ya "akiwa..atabadilika" ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo.

Ndiyo yaliyotufanya kumchagua Magufuli kwa kuwa tuliamini atabadilika (soma utabiri wa paschal mayala).


Kwa bahati mbaya zaidi, ndiyo wanachotaka kutuaminisha CHADEMA (hii mada ya wakati mwingine).

Tunataka tuone morality yako ya sasa ndipo tujue uwezo wako wa kutongoza.
 
Kama ukimrekebisha insta anakupa block akiwa raisi jela si ndio zitajaa
 
Akiwa raisi waTz tutalazimishwa kuwa na account za INSTAGRAM taifa zima.

Wasiojulikana watammaliza kwenye kampeni.
 
Watanzania bwana, hili nalo na wazo umeona linafaa kutushirikisha?
Hili wazo siyo la watanzania ni la nyumbu mmoja na wenzake wanafuata tu hii ni tabia ya hao wanyama mmoja akiingia mtoni woote wanafuata hata kama kavutwa na mamba.
 
Hili wazo siyo la watanzania ni la nyumbu mmoja na wenzake wanafuata tu hii ni tabia ya hao wanyama mmoja akiingia mtoni woote wanafuata hata kama kavutwa na mamba.

Yaani ni shida saana mkuu, ila tutachelewa sana kufika kama fikra hizi ndio zipo kwa wingi miongoni mwetu.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom