Napendekeza Mange Kimambi agombee urais mwaka 2020

kwa hiyo wewe unaonaje Mange hatufai kutuongoza, ana uwezo, elimu, utashi,
Amejawa chuki, hana uvumilivu... Atahamasisha vita badala ya Amani. Uraisi si jambo la kitoto. Kuna mengi nyuma ya pazia
 
Habari za Jumapili wanajamvi.
Huyu mama Mange Kimambi ni jasiri, anakubalika na rika zote, anatetea wanyonge, ni mvumilivu, mpole na mpenda haki. Amefichua maouvu mengi sana hapa nchini. Na kila mtu ana imani kubwa kuwa Mange ni mkombozi wetu. Kwa kipindi kifupi ameweza kuiteka nchi nzima hadi tumemsahau kamanda wetu Lisu kule Ulaya. Nikiwa mwana ukawa kindakindaki naomba sana viongozi wangu tumkabidhi kijiti Mange ili aokoe hichi kizazi. Ikiwa atapitishwa na ukawa hakuna mtu wa CCm wa kumshinda Mange. Naomba kuwasilisha
Pendekezo zuri kwa kweli.
 
Ana mashabiki wengi na atakuja na mtaji mkubwa, naunga mkono mange agombee chadema uraisi 2020
Mkuu hapo kwenye mashabiki wengi mnajidanganya sana. Mimi Familia yetu hawajui chochote kuhusu Mange lakini wanamjua Lissu, Lowasa na wengine wengi wanasiasa wa Upinzani. Mange anajulikana mijini tu na kwa vijana wachache wenye access ya mitandao. I'm sure zikipigwa kura hapati kura hata Mil. 2 kati ya waTz let say Mil. 20 hv wanaopigaga kura
 
Mashabiki?? Hivi kwa akili ya kibavicha bavicha unaamini kabisa kila aliye follower wake ni shabiki wake??
Diamond is actually more powerful to the youths votes than huyo sociolite.
hapna kwa sasa Mange ana influency kubwa kuliko mtu yeyote hapa Tanzania. Na kwa Tanzania ya sasa Mange ndio chaguo sahihi kabisa
 
hapna kwa sasa Mange ana influency kubwa kuliko mtu yeyote hapa Tanzania. Na kwa Tanzania ya sasa Mange ndio chaguo sahihi kabisa
Mange huyu?? Dah!
Lowassa alikuwa ma mashabiki, sio kimambe. Alafu wapiga kura wengi wa ambao ni wa mikoani, hawamjui huyu. Wenzetu hawaishi kwa kutumia mitandao ya kijamii. Tuacheni kudhani Dar ndio tanzania yote. Labda uniambie aje gombea ubunge hapa Dar, kidogo nitakuelewa.
 
Mange amekosa moral authority ya uongozi. Huenda ana nia njema na uchungu na nchi lakini role yake itaishia hapo hapo kuwa mhamasishaji.
Akiwa raia namba 1, si atakuwa na washauri wa mambo mbali mbali kwa hiyo atabadilika tu ondoa shaka
 
Kale kadada hakana hata nyama lakini kanawakosesha sana usingizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom