Daviie
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,293
- 1,462
Amejawa chuki, hana uvumilivu... Atahamasisha vita badala ya Amani. Uraisi si jambo la kitoto. Kuna mengi nyuma ya paziakwa hiyo wewe unaonaje Mange hatufai kutuongoza, ana uwezo, elimu, utashi,
Amejawa chuki, hana uvumilivu... Atahamasisha vita badala ya Amani. Uraisi si jambo la kitoto. Kuna mengi nyuma ya paziakwa hiyo wewe unaonaje Mange hatufai kutuongoza, ana uwezo, elimu, utashi,
Pendekezo zuri kwa kweli.Habari za Jumapili wanajamvi.
Huyu mama Mange Kimambi ni jasiri, anakubalika na rika zote, anatetea wanyonge, ni mvumilivu, mpole na mpenda haki. Amefichua maouvu mengi sana hapa nchini. Na kila mtu ana imani kubwa kuwa Mange ni mkombozi wetu. Kwa kipindi kifupi ameweza kuiteka nchi nzima hadi tumemsahau kamanda wetu Lisu kule Ulaya. Nikiwa mwana ukawa kindakindaki naomba sana viongozi wangu tumkabidhi kijiti Mange ili aokoe hichi kizazi. Ikiwa atapitishwa na ukawa hakuna mtu wa CCm wa kumshinda Mange. Naomba kuwasilisha
Mkuu hapo kwenye mashabiki wengi mnajidanganya sana. Mimi Familia yetu hawajui chochote kuhusu Mange lakini wanamjua Lissu, Lowasa na wengine wengi wanasiasa wa Upinzani. Mange anajulikana mijini tu na kwa vijana wachache wenye access ya mitandao. I'm sure zikipigwa kura hapati kura hata Mil. 2 kati ya waTz let say Mil. 20 hv wanaopigaga kuraAna mashabiki wengi na atakuja na mtaji mkubwa, naunga mkono mange agombee chadema uraisi 2020
hapna kwa sasa Mange ana influency kubwa kuliko mtu yeyote hapa Tanzania. Na kwa Tanzania ya sasa Mange ndio chaguo sahihi kabisaMashabiki?? Hivi kwa akili ya kibavicha bavicha unaamini kabisa kila aliye follower wake ni shabiki wake??
Diamond is actually more powerful to the youths votes than huyo sociolite.
Mange huyu?? Dah!hapna kwa sasa Mange ana influency kubwa kuliko mtu yeyote hapa Tanzania. Na kwa Tanzania ya sasa Mange ndio chaguo sahihi kabisa
Akiwa raia namba 1, si atakuwa na washauri wa mambo mbali mbali kwa hiyo atabadilika tu ondoa shakaMange amekosa moral authority ya uongozi. Huenda ana nia njema na uchungu na nchi lakini role yake itaishia hapo hapo kuwa mhamasishaji.
Double that.Aiseee
Hoja naunga mkonoNyama zinauzwa buchani si tunataka busara zake, je unaunga mkono hoja?