Napendekeza kituo chochote cha habari kiitishe mjadala kati ya Kafulila na Zitto juu ya ripoti ya CAG

KIBST

JF-Expert Member
Jul 22, 2017
517
2,152
Kwa uchambuzi uliotolewa na Zitto kabwe na Kafulila juu ya ripoti ya CAG, niseme ukweli nimevutiwa nao sana na ningependa zaidi wawili hawa wakakutanishwa meza moja na watuelezee kinaga ubaga juu ya hizi chambuzi zao zinzozunguka mitandaoni

Kama hili jambo likifanikiwa WATANZANIA tutfunguliwa kisawa sawa juu ya mustakabali wa nchi yetu na awamu hii.

Maana tumechoka kumezesha uwongo na baadhi ya wachache wasiopenda kusikia mazuri ya nchi hii.

Afu kuna watu humu JF msipende tu kusikia mabaya ya nchi hii..mpende pia kusikia na mazuri.

Akisema Zitto ni mazuri lakini akisema Kafulila ni mabaya. Huu ni upuuzi kwa wenye tabia hii
 
Back
Top Bottom