don-oba
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 1,387
- 677
Sio nia yangu kumpangia majukumu mtukufu raisi, lakini nimeona ni vyema kumshauri jambo hili. Mheshimiwa Kippi Warioba ambaye ni mkuu wa wilaya ya Moshi ni miongoni mwa vijana wachache waliojaliwa hekima. Kippi Warioba ni kijana mtulivu na asiyekuwa na majivuno.
Nafahamu Kippi hanijui, lakini ni mmoja wa wakazi ndani ya wilaya yake. Natambua jitihada zake anazozifanya ndani ya wilaya yetu. Kwa mantiki hiyo, apewe mkoa ili aweze kuleta maendeleo katika mkoa wetu.
Narudia tena, sina nia mbaya kumshauri raisi wangu bali namuomba achukue ushauri wangu kama mtumishi mwaminifu kutoka Ofisi yake.
ASANTE.