Age limit kitu gani? John John Mnyika ndiye anafaa kumrithi Mbowe katika nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Kwa anajua kizuizi akitoe hadharani tukijue.
Hapo nimemsaliti nani? Najua mtakata kuwaaminisha watz kuwa umwenyekiti ndani cdm ni big deal, I say No. Mh. Mbowe alionyesha njia 2010 baada ya kukataa kugombea urais ilhali akiwa mwenyekiti wa chama. Hivyo cdm inaweza kuwa na mwenyekiti asiyetaka kuwa rais ila anayeweza kuaminika kuwa atabaki kwenye misingi ya chama.Msariti mkubwa wewe.
Body without head
Zizi lisilo na ndama hutoweka....!Mbona mnamwogopa sana Mbowe Kuna nini??? Mara Nyika amrithi Mbowe wenyekiti, CDM haiendeshwi na gear za CCM, kama mmekosa kazi kalaleni!!
Uchaguzi CHADEMA bado muda ukifika utafanyika!!
Tunaimalisha chama na kun'goa wasaliti!! Viva CDM!!