Napendekeza ili mtu kuwa Sheikh angalau awe na Bachelor Degree kuendelea

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,145
11,186
Maoni yangu kama mtanzania napendekeza ili mtu awe sheikh angalau awe na elimu Dunia, kuanzia ngazi ya Degree iwe ya mambo ya dini au ujuzi mwingine, kama wafanyavyo wenzetu ili mtu awe mchungaji au padre basi awe na elimu fulani

Hii itasaidia sana, Nawasilisha.......
 
Hata wenye PHD wana akili kama kondoo awamu hii.

Tatizo sio elimu, kuwa na taasisi imara ndo kunafanya viongozi imara wapatikane.
 
Ninavyo jua Mimi elimu ya Uislam ni pana sana kuendesha Misikiti kinachoitajika ni kuwa na elimu ya dini mfano imamu lakini kuwa mwanadhuoni lazima huwe na elimu zote mbili na wana vyuo vyao kulingana na elimu yako tatizo vingi vipo nje ya nchi
elim dunia ni muhim, think juzi wanaombea ndege wakati kuna deni ni aibu ile, shule inahitajika
 
Kwa mwenyezi mungu amesisitiza waislamu wasome kwa ajir ya mwenyez mungu na maswala mengi ya dini yanaongozwa na mtu kuwa na ujuzi wa hyo dini ( waislamu wengi wanaijua dini) sheikh anachaguliwa tu na kundi la watu fulani na katika hao wanachagua mtu atakaendana na philosophy yao ndio maana unaona kuna taasis za kiislamu wako vizur kwenye elimu zote yaan dunia na akhera mfano islamic foundation na wengine wako na elimu ya dini tu na mara nyingi hao ndio wanahusika kwenye matendo au vitu ambavyo kama kiongoz wa dini havifai kuvidhihirisha katika jamii
 
elimu dunia ni 0.0, elimu dunia ingekuwepo hivi vituko visingekuwepo
Kwa mwenyezi mungu amesisitiza waislamu wasome kwa ajir ya mwenyez mungu na maswala mengi ya dini yanaongozwa na mtu kuwa na ujuzi wa hyo dini ( waislamu wengi wanaijua dini) sheikh anachaguliwa tu na kundi la watu fulani na katika hao wanachagua mtu atakaendana na philosophy yao ndio maana unaona kuna taasis za kiislamu wako vizur kwenye elimu zote yaan dunia na akhera mfano islamic foundation
 
Maoni yangu kama mtanzania napendekeza ili mtu awe sheikh angalau awe na elimu Dunia, kuanzia ngazi ya Degree iwe ya mambo ya dini au ujuzi mwingine, kama wafanyavyo wenzetu ili mtu awe mchungaji au padre basi awe na elimu fulani

Hii itasaidia sana, Nawasilisha.......

Naona unaitafuta ' Albadiri ' kwa lazima Kiongozi!
 
Sheikh wa msikti lazima awe na majini ya kutosha elimu sio ishu kiviiiiiiile kwao. Alafu kama unahela zako unajenga msikiti wako na wewe mwenyewe unakua sheikh wa huo msikiti, hapo hakutoi mtu hata kama hujasoma. Samatta akiacha soka anakua sheikh kwenye msikiti wake aliojenga hahahaaaa.
 
Maoni yangu kama mtanzania napendekeza ili mtu awe sheikh angalau awe na elimu Dunia, kuanzia ngazi ya Degree iwe ya mambo ya dini au ujuzi mwingine, kama wafanyavyo wenzetu ili mtu awe mchungaji au padre basi awe na elimu fulani

Hii itasaidia sana, Nawasilisha.......
Hawa wenzetu wanafeli Sana, ndio maana migogoro ya kugombania madaraka haishi kwakuwa wanachaguana Kama wabunge au madiwani. Hawa jamaa wanalogana Sana mpaka wakati mwingne watu wanaogopa kuwa mashekhe, lakn hawajifunzj kwa wenzao Kama RC ambao kuwa padre au askofu ni elimu yako na protocol
 
Lau kila mchangiaji,tungekuwa tunajua ukomo wa elimu yake hapa Jf,ingependeza sana.

Kuna baadhi ya Mada,huwa ni nzuri sana,na huenda mleta uzi,akawa ana nia njema

Tatizo linakuja kwa wachangiaji,
Ninahakika wengi wa wachangiaji,ni wale wasiojulikana

Wengi wetu tumekosa Ustaarabu,
Huna elimu na kitu,ni bora ukakaa chini na kujifunza,na si kuja katika Jukwaa na kuleta mkanganyiko...ili uambiwe na ww umechangia!!!
 
elim dunia ni muhim, think juzi wanaombea ndege wakati kuna deni ni aibu ile, shule inahitajika
Mbona kuna viongozi wa Dini mbali na Uislam wamefanya mambo ya ajabu kwenye utawala tulionao? Mazingira wanayoyafanya viongozi wa Dini tofauti tofauti kwenye hii awamu ni kufunika kombe mwana haramu apite. Ijapokuwa si falsafa nzuri kwa viongozi wa Dini kwani inawadhalilisha na wanaingia kwenye kundi la unafiki.
 
Back
Top Bottom