Napendekeza ianzishwe kodi ya kutumia barabara zenye foleni kubwa na itumike kujenga flyover

hello JF,

Najua mnalipa bima etc kwenye magari yenu,na wazo la kuwatoa pesa hata kama kidogo mtalipinga.....lakini nimelileta tudiscuss....

Nilikua nawaza wange introduce charge za kutumia barabara zile zinakuwaga busy sana kushinda barabara nyingine......

hili litawafanya watafute alternative Road...............and by doing so,tatizo la msongamano litaisha taratibu Dareslaam

Hio hela itakayopatikana kutokana na hizo charges ijenge ma flyover :D:D:D:D:p:p:p:p:p

Wewe kila thread unayoanzishaga ...unazungumzia tax collection tu ....wewe usifikilie kila mtu ni sawa na wewe ...sijui kwanini ujitambui ...au kwasababu unaishi ..kwa kupata Feva kutoka kwa wanaume....wewe bado sana .yaani watu tunalipa direct tax and indirect tax lakin still bado unaona nindogo...sisi tunapata tabu ..kupata hela
Usije ukadhani sote tunadanga kama wewe...maana ujitambui...badala yakubuni njia yakupunguza kodi..wewe unabuni njia yakuongeza.
 
Umeongea point nzuri sana, uko wapi nikualike tupate breakfast?
 
Wewe kila thread unayoanzishaga ...unazungumzia tax collection tu ....wewe usifikilie kila mtu ni sawa na wewe ...sijui kwanini ujitambui ...au kwasababu unaishi ..kwa kupata Feva kutoka kwa wanaume....wewe bado sana .yaani watu tunalipa direct tax and indirect tax lakin still bado unaona nindogo...sisi tunapata tabu ..kupata hela
Usije ukadhani sote tunadanga kama wewe...maana ujitambui...badala yakubuni njia yakupunguza kodi..wewe unabuni njia yakuongeza.

thread ngapi za taxi???mkuu usinitolee frustrations zako,na hili halijapitishwa rasmi,sielewi kwa nini umeamua kujidefend kwa kuni attack .....first niambie proportion ya threads zangu ngapi nimeandika kuhusu tax collection?????eti mnalipa kodi nyingi,wewe na nani???chunguza nchi inayo kusanya kodi nyingi.......usinitoe kwenye mjadala,bye.
 
Unazingua sana .
 
Rebeca 83 Pole kwa michango negative!Ndio ukusanyaji wa maoni ulivyo!Wengi hapo hawana magari na wamechangia kwa kupanic hatariii!Wazo zuri!Ila kwa kupitia michango hiyo ya kupinga Kaliboreshe urudi vema !!Nina iman itaungwa mkono kwa hoja supportive!!
Nawasilisha
 
Asante nitarudi baadae,nikiona vipi nakula kona hahaaa
 
Back
Top Bottom