Napendekeza busara itumike: Pesa za uchaguzi 2020 zikajenge flyover Mwenge / Morrocco

Nakuunga mkono,maana mshindi wa 2020 ameshapatikana, ila nasisi huku vijijini tukumbukwe, serikali inafanya mazuri mengi lakini sehemu nyingi vijijini tumesahaulika na serikali imetia nguvu nyingi mijini...sasa hayo mabilioni ambayo yangetumika kwa uchaguzi wasiyapeleke Dar, Dodoma,Arusha au Mwanza mijini tu watusaidie hata sisi huku vitongojini watulimie walau barabara, watuchimbie visima na watupatie umeme.
[/QUOThamia mjini upo kijiji gani?
 
Kwanini usipendekeze hizo pesa zielekezwe kuleta maendeleo kijijini kwenu sitimbi?
 
Hiyo pesa iende chato, ikawekwe interchange ya maana
Kwakuwa mwenyewe keshasema haondoki, ni kwanini tuchezee mabilioni kwenye huo uchaguzi, hivi hatuzionei huruma pesa zetu?
Napendekeza zikatumike kujenga flyover Mwenge na Morroco, hiyo inatija mara elfu.
 
Kwakuwa mwenyewe keshasema haondoki, ni kwanini tuchezee mabilioni kwenye huo uchaguzi, hivi hatuzionei huruma pesa zetu?
Napendekeza zikatumike kujenga flyover Mwenge na Morroco, hiyo inatija mara elfu.
Mnajiwazia Dar es salaam tu, kwanini isijenge hospitali na kusambaza umeme mikoani?
 
Bashiru kashaweka wazi, kwamba ukipigia kura mtu yeyote zaidi ya CCM ni kwamba unashindana na dola, sasa msitegemee kuishinda dola, tuokoe pesa na muda kwenye uchaguzi, hizo pesa zikajenge flyover tu
 
Back
Top Bottom