Napenda sana wake za watu, tatizo ni nini?

sijawahi kuwaza hivyo....maana najua mbinu nyingi sana za kuepuka hayo....hata hivyo nataka niache huu upuuzi.
Acha mwanangu, ukifumaniwa hamna mbinu ya kukwepa kumegwa hata ukiibana unapakwa mafuta mwanangu. Watakuponza hao shauri ako, na umimegwa mara moja tu lazima umtafute basha wa kukumega kila siku, ndo pale tunaposema kamethali ketu ka uswazi eti mmega humegwa, aaaaah kumbe nimekosea... muosha huoshwa
 
poa mkuu ....nipo mbioni kuacha...asante kwa ushauri
 
kiukweli sijui tatizo nini...ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana....sipendi hawa mabinti wadogo... tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi kumpenda..... hawa wasichana wadogo sina hamu nao kabisa!!
Mkuu hilo tatizo kubwa sana nenda ufanyiwe maombi.
 
kiukweli sijui tatizo nini...ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana....sipendi hawa mabinti wadogo... tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi kumpenda..... hawa wasichana wadogo sina hamu nao kabisa!!
ukisha pigwa mtungo usisahau kutuletea mrejesho
 
Back
Top Bottom