Napenda sana wake za watu, tatizo ni nini?

Jiandae na wewe kupendwa na hao waume zao kama hauta acha hiyo tabia......
Na wewe ukija kuoa ukichapiwa usilalamike
 
Hiyo ni dalili ya kupenda mteremko, lakini for sure Mkuu jitahidi uache tabia hiyo umri wako ni mdogo sana at the end of the day hutaamini yatakayo kupanda, Mke anauma aisee sikia tu kwa mwenzako
 
Ajali zihusianazo na jambo hilo ni kama ifuatavyo:
1. Mauti
2. Kutenguliwa kiume chako
3. Kufanyiwa unachowafanyia wake za watu
4. Kulishwa mchanganyiko wa tango na asali

NB; Kila aliye mwanaume ni mume mtarajiwa, inatia shaka wewe kujiweka nafasi ya uke wenza.
hakuna sehem nimesema mimi nimejiweka nafasi ya uke wenza....elewa mada punguza mihemko
 
kiukweli sijui tatizo nini...ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana....sipendi hawa mabinti wadogo... tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi kumpenda..... hawa wasichana wadogo sina hamu nao kabisa!!
Sio kosa lako wala hustahili kulaumiwa makosa ni ya wazazi wako maana hii tabia umerithi kwa baba yako
 
kiukweli sijui tatizo nini...ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana....sipendi hawa mabinti wadogo... tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi kumpenda..... hawa wasichana wadogo sina hamu nao kabisa!!
mkuu unauliza tatizo ni nini?

tatizo ni kuwa huna hela. wake za watu hawahitaji kununuliwa vitz, kupangishiwa nyumba, kununuliwa dhahabu. ukipata hela tu nina uhakika kwa 100% utaanza kuwageukia hao spring chicken!
 
kiukweli sijui tatizo nini...ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana....sipendi hawa mabinti wadogo... tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi kumpenda..... hawa wasichana wadogo sina hamu nao kabisa!!
Nusu ya maisha yako yapo hatarini
 
kiukweli sijui tatizo nini...ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana....sipendi hawa mabinti wadogo... tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi kumpenda..... hawa wasichana wadogo sina hamu nao kabisa!!
UNA PEPO LA MAUTI. AMBALO SIKU MOJA LITAKUPELEKA WAKUCHARANGE MAPANGA. HUJASIKIAGA MSEMO WA MKE WA MTU NI SUMU? TUBU NA UMRUDIE MUNGU KWA TOBA YA UKWELI. MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
 
Hiyo ni dalili ya kupenda mteremko, lakini for sure Mkuu jitahidi uache tabia hiyo umri wako ni mdogo sana at the end of the day hutaamini yatakayo kupanda, Mke anauma aisee sikia tu kwa mwenzako
sawa mkuu. nafanya jitihada hizo....asante kwa ushauri
 
kiukweli sijui tatizo nini...ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana....sipendi hawa mabinti wadogo... tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi kumpenda..... hawa wasichana wadogo sina hamu nao kabisa!!
Kuna aina nyingi za mapepo
Hilo nalo pepo
Kumbuka hili
Mwisho na nia kuu ya aina yeyote ya pepo ni kukuangamiza
Jinasue mapema na pepo hilo la ngono kwa wake za watu
June mbali
Utakufa.
 
Back
Top Bottom