Napenda sana nyimbo hizi, kama tuna common interest nisaidie nyingine

Kavinsky

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
303
1,000
WCB napenda kama zote hivi ila chache za Lavalava. Queen Darleen zizijui kabisa nisiwe muongo.

Usiende Mbali by Juliana Kanyomozi
Posa ya Bolingo by Alicios Theluji
Mpita Njia by Alicios na Juliana Kanyomozi
Serebuka by Mwasiti
Haimaanishi by Jolie
Na Yule by Ruby
Kidato Kimoja by J.I
Natumaini remix ya Beka
Karim ya Kiba

Mbele huko ni hizi
Idgaf by Dua Lipa
Ego by Beyonce
Am to You, aren't your Mama, papi by Jennifer lopez
Man Down ya Rihanna
Personally ya P Square
Joro ya Wizkid

Hizi zijazielewa kabisa licha ya popularity kubwa YouTube. Despacito ,I like it ya card b, shake it off ya Taylor swift,if and fall za Davido.

See you again nahisi Wiz Khalifa kaaribu pia Jericho ya Simi sijafurahishwa sana na Patoranking
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom