Napenda sana mambo ya astronomy

Elia Richard

Member
Feb 9, 2019
10
5
Napenda sana mambo ya astronomy nimesoma sana mambo hayo kwenye mitandao ...nisehem gan mtandaon nawexa kupata machapisho mazur yaliyopangiliwa kuhusu anga za majuu
 
huwa zinavutia sana kusoma mambo ya light years,hii elimu yake pana sana hadi leo wazungu hawajaifikia ata robo
 
Astronomy is very very exciting. It's beyond what the naked eye can decipher.

Sasa ukitaka kufaidi tafuta telescope Moja matata mno. Halafu tafuta na App Moja ya Stargazing itakayokuwezesha kufatilia patterns za nyota na groupings zake (constellations).

Kuna App kama Star Tracker aisee hutajutia. Unakuwa kama teja hasa siku ambazo hakuna mawingu unaona Crab yuleeeee 😊😊 wapi Cygnus, wapi Orion na Aquarius? Unakuwa kama teja. Lol

Raha ukiwa na chart ya ufatiliaji.
 
Kwa kweli Mungu ameumba... astronomia ni sehemu mojawapo ya kuangalia uumbaji ulio wa kustaajabisha!

Jua ni nyota saizi ya kati. Nyota zote tunazoziona bila kutumia kifaa chochote ziko kwenye galaksi hiihii moja. Kuna mabilioni ya nyota kwenye galaksi hii.

Kuna mabilioni ya galaksi.

Magalaksi yote, na vyote vinavyoonekana, vinakadiriwa kuwa ni kajisehemu kadogo ka ulimwengu. Maada Isiyoonekana ndio ina uzito mkubwa na kuchukua sehemu kubwa iliyobakia.

Huu ni ulimwengu mmoja (universe).

Kisha wanasema pana malimwengu mengine (multiverse...)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom