Napenda nyimbo za Diamond, nataka kujua mafanikio yake

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,749
12,674
kipindi cha nyuma kidogoo kam miaka mi5 sasa imepita niliona akipiga picha kwenye pool akisema
mjengo wangu unaendelea hivyo

so far sikuona kingine wala mkamiliko wa ile nyumba
naomba pia msaada wa picha
kwa miaka takribani 10 naomba kujua Huyu NO 1 KWA SASA ANA VITU GANI IN TERMS OF rasilimali
 
mashabiki wa diamond naomba mnijibu hili
najua mnaona mimi ni miongoni mweny ila sijui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom