Napenda nioe mwanamke aliyenizidi akili, nitampataje?

Ooooooy!

Wanang wa Jamiiforums always ndio kimbilio langu

Sasa wadau mwanenu Fene kiukwel napenda sana changamoto za kiakili hivy mara nying nikiwaga na wadau wangu kitaa napendelea mazungumzo yenye ku-challange ubongo (lengo sio kujimwambafy wadau sometimes napendelea pumba vilevile)

Ssa wadau kwakwel hiz pisi kali mpak ssa ninazogumiana nazo zipo least kinoma,

Ukwel ni kwamba napenda nikioa, mke wangu awe ni mwenye kui-challange san akili yangu, awe wise woman, nipate ushaur wa kutosha kutoka kwake

Swali:
1.je hawa wanawake wapo au naidanganya akili yangu?

2.Mbinu zp unavyodhani ni bora kuwapata wanawake wa type hii? (Kwa wakat huo nitakaokuwa tayari)

Jamiiforums home of wise people
View attachment 2015066
Mpaka huo wakati utakaokuja kuwa tayari kuowa njoo tena hapa tutakwambia.
 
Back
Top Bottom