Napenda matangza ya kazi yaliyo wazi kutaja Mshahara kama hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napenda matangza ya kazi yaliyo wazi kutaja Mshahara kama hili.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Retreat, Dec 8, 2011.

 1. R

  Retreat JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Binafsi huwa sioni logic ya kuficha Mshahara wakati wa kutangza kazi, mi naona iwe inawekwa wazi tu watu waote wajue. Maana unaweza ukakosa watu wazuri kwa kutokujua mshahara utakuwa shillingi ngapi.

  MAtangazo mengi ya kazi hapa bongo hayataji kiasi cha mshahara, naomba waige mfano wa hawa jamaa, kidogo TANAPA nao huwa wanataja kiasi cha mshahara.

  View attachment Job Details.doc
   
Loading...