Napenda kuwa mtaalam wa kompyuta maintanance na kufanya windows installation

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Jamani wakubwa humu ndani, mimi mwenzenu napenda kuwa mtaalam wa "Computer maintenance "
Sema sijapitia chuo labda kusoma elimu hii ya computer, lakini naijuia kuitumia kwa kiasi fulani (sio mjuzi sana)

Sasa nawauliza nyie kama wataalamu wa haya mambo nifanyeje ili. Niweze ku-master ujuzi katika kufanya repairment katika "software" pamoja na "hardware"

Karibuni wakuu, nipo serious ushauri wako ni muhimu kwangu
 
Moja ya vitu easy katka IT ni maintenance , updation , na pia installation,
sabab unaweza kujifunza easy tu
 
Hii
Nilitaka kumueleza the same ila nilikosa maneno yenye kufikisha ujumbe huu.

Kifupi ni kazi iliyokuwa ikinilipa sana huko miaka ya 90 kabla ya kuja hawa mafundi wa mwendo kasi... kufomat na kuinstall buku 5 ati viras free.
Hii ni kweli miaka ya 90, ati viras mkuu, simu yako au computer yako iweke Auto spell checker
 
Jamani wakubwa humu ndani, mimi mwenzenu napenda kuwa mtaalam wa "Computer maintenance "
Sema sijapitia chuo labda kusoma elimu hii ya computer, lakini naijuia kuitumia kwa kiasi fulani (sio mjuzi sana)

Sasa nawauliza nyie kama wataalamu wa haya mambo nifanyeje ili. Niweze ku-master ujuzi katika kufanya repairment katika "software" pamoja na "hardware"

Karibuni wakuu, nipo serious ushauri wako ni muhimu kwangu
mbona rahic tu boss kama na wataalam au shinda na fundi kama upo dsm njoo machinga complex nikunoe
 
Mkuu windows installation mbona unajifunza mwenyewe tu ndani ya dk3.

Ukitaka kuijua computer vizuri basi usiiogope eti utaiharibu.
Wewe jaribu kila kitu ambacho hukijui.
Toka nimepata PC sijawahi peleka kwa fundi narepair mwenyewe kila kitu nachofanya ni kununua vifaa tu.
Labda ikitokea limetokea tatizo kubwa sana lakini kwa sasa mafundi hawanipati.
 
Penda unachofanya na kuwa unafuatilia mabadiliko.., in short tembea na fundi / fanya practical au jisomee from google kila kitu kipo hapo... (kutoa pesa upate elimu alafu ukaacha elimu hiyo kwenye makabrasha utakuwa haufanyi kitu, things change a lot)

In short elimu haina mwisho kila siku utajifunza ila kama ni mjanja wiki tu utakuwa mtaaluma (depending na ujanja / sharpness yako)....

Ila kama unataka kweli kuwa mtaaluma usihishie kwenye maintenance na installation, bali ingia kwenye electronics, copier maintenance n.k. mwisho wa siku mifumo ya maintenance ni ile ile...,
 
Back
Top Bottom