Napenda Kuuliza kitu kuhusu NHIF Bima Ya Afya

Yasser Kagire

Member
Apr 12, 2013
31
21
Mimi nilikua mwajiriwa katika kampuni moja Binafsi, na pia nilikua mwanachama katika Mfuko wa Bima Ya Afya ya Nhif. Sasa Niachishwa kazi. Je kuhusu bima yangu Ya Afya nitakua nalipiaje? Maana nilikua nakatwa Asilimia 6 ya mshahara wangu juu kwa juu inalipwa Nhif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bima ya Nhif huwa
Kama hajalipiwa muda mrefu inafungwa na huwezi kuitmia ila kama ungekuwa upo chini ya miala18 ungefika katika ofisi zao wangekupa utaratibu.....
 
Unaweza kuendelea kuchangia kwa mwaka kiasi fulani hata kama hujaajiriwa.

Zipo rate tofauti tofauti. Labda ungeingia kwenye site ya NHIF au kifika kwenye ofisi zao ungeweza kupata maelezo mazuri.
 
Hawa Nhif kwa mtu alizidi umri wa miaka18 ni Tzs mil 1,200,000 per year

Under18 50400 per year
au fika kwenye Ofisi zao
Kama temeke ofis zao zipo Tazara..

Back
Top Bottom