Napenda kusema hivi Lowassa watanzania wanamtegemea sana kama ilivyokuwa kwa Kikwete!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Nimeenda kwenye harambe ya EL ninoma maana watanzania wameonyesha wanamhitaji ni bora sasa CCM mkampa hiyo nafasi kwani vinginevyo mtakuja kujutia kama mkifanya tofauti na muomba M/kiti wa CCM atumie madaraka aliyo nayo kumuachia hiyo nafasi kwanu ni kweli ataiweka hii nchi katika mstari unaotakiwa!Ataweza na anaouwezo.
 
mkuu ngoja bavicha wajee uwone watakavyo kushambulia na kumwaga matusi akiongozwa na ben aka yahaya,wao wamefundishwa kumwaga ,matusi tu
 
Nimeenda kwenye harambe ya EL ninoma maana watanzania wameonyesha wanamhitaji ni bora sasa CCM mkampa hiyo nafasi kwani vinginevyo mtakuja kujutia kama mkifanya tofauti na muomba M/kiti wa CCM atumie madaraka aliyo nayo kumuachia hiyo nafasi kwanu ni kweli ataiweka hii nchi katika mstari unaotakiwa!Ataweza na anaouwezo.

anahitajika na Watanzania manyang'au kuliko WaTanzania waadilifu, makini na waungwana
 
Yes, Yes!
I like this guy and belive in him, keep on campaigning

Nimeenda kwenye harambe ya EL ninoma maana watanzania wameonyesha wanamhitaji ni bora sasa CCM mkampa hiyo nafasi kwani vinginevyo mtakuja kujutia kama mkifanya tofauti na muomba M/kiti wa CCM atumie madaraka aliyo nayo kumuachia hiyo nafasi kwanu ni kweli ataiweka hii nchi katika mstari unaotakiwa!Ataweza na anaouwezo.
 
Anatetemekatetemeka hovyo lowasa wenu! msitutengenezee msiba wa prezident kwa makusudi manake anaweza kuishi miaka mia tano ijayo, lakini kuivuka miaka miwili ijayo ni mbinde kwake.
 
Hata babu nae atatufia tuuu maana namuonaa kakongorokaaa tutapata hasaraaa
 
Back
Top Bottom