Napenda kusema hivi Lowassa watanzania wanamtegemea sana kama ilivyokuwa kwa Kikwete!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,183
2,000
Nimeenda kwenye harambe ya EL ninoma maana watanzania wameonyesha wanamhitaji ni bora sasa CCM mkampa hiyo nafasi kwani vinginevyo mtakuja kujutia kama mkifanya tofauti na muomba M/kiti wa CCM atumie madaraka aliyo nayo kumuachia hiyo nafasi kwanu ni kweli ataiweka hii nchi katika mstari unaotakiwa!Ataweza na anaouwezo.
 
OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,943
1,225
mkuu ngoja bavicha wajee uwone watakavyo kushambulia na kumwaga matusi akiongozwa na ben aka yahaya,wao wamefundishwa kumwaga ,matusi tu
 
nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,898
2,000
Nimeenda kwenye harambe ya EL ninoma maana watanzania wameonyesha wanamhitaji ni bora sasa CCM mkampa hiyo nafasi kwani vinginevyo mtakuja kujutia kama mkifanya tofauti na muomba M/kiti wa CCM atumie madaraka aliyo nayo kumuachia hiyo nafasi kwanu ni kweli ataiweka hii nchi katika mstari unaotakiwa!Ataweza na anaouwezo.

anahitajika na Watanzania manyang'au kuliko WaTanzania waadilifu, makini na waungwana
 
alphonce.NET

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
802
500
Yes, Yes!
I like this guy and belive in him, keep on campaigningNimeenda kwenye harambe ya EL ninoma maana watanzania wameonyesha wanamhitaji ni bora sasa CCM mkampa hiyo nafasi kwani vinginevyo mtakuja kujutia kama mkifanya tofauti na muomba M/kiti wa CCM atumie madaraka aliyo nayo kumuachia hiyo nafasi kwanu ni kweli ataiweka hii nchi katika mstari unaotakiwa!Ataweza na anaouwezo.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,614
2,000
Anatetemekatetemeka hovyo lowasa wenu! msitutengenezee msiba wa prezident kwa makusudi manake anaweza kuishi miaka mia tano ijayo, lakini kuivuka miaka miwili ijayo ni mbinde kwake.
 
white girl

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,363
0
Anatetemekatetemeka hovyo lowasa wenu! msitutengenezee msiba wa prezident kwa makusudi manake anaweza kuishi miaka mia tano ijayo, lakini kuivuka miaka miwili ijayo ni mbinde kwake.

Hata babu nae atatufia tuuu maana namuonaa kakongorokaaa tutapata hasaraaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom