Napenda kuona miti inavyorudi nyuma wakati wa safari!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,170
9,378
HAYA NI MANENO MOJAWAPO KATIKA WIMBO WA MRISHO MPOTO !MENGINE ANASEMA.......
BABA KAJA NA SWALI ...MAMA KANIPA JIBU ILI NIULIZE SWALI!
WIMBO HUU UNA MAFUMBO MAGUMU HEBU JF GTs' nichambulieni wimbo huu mwenzenu fasihi yangu imegonga ukuta.
 
Ule wimbo una mafumbo sana, ila nilivyouelewa ni kama jamaa katoa ujumbe kuhusiana na kifo!
 
Back
Top Bottom