Napenda kujuzwa kuhusu mwaka mrefu na mfupi

mcrounmj

JF-Expert Member
Feb 26, 2016
380
885
Waungwana heshima kwenu.
Napenda kujuzwa kuhusu mwaka mrefu na mfupi. Kwa jinsi nijuavyo mimi mwaka mrefu ni pale dunia inapokamilisha mzunguko wake wa kulizunguka jua baada ya siku 366. Ila mwaka mfupi dunia inatumia siku 365 na robo.

Pia mwaka mrefu haugawanyiki kwa nne, mfano 2016 unagawanyika kwa nne hivyo ni mwaka mrefu, 2017 haugawanyiki kwa nne hivyo ni mwaka mfupi, sasa vigezo hivi vilipatikanaje wataalam wa mambo ya kalenda?
 
Mwaka kawaida una siku 365 na robo mabayo tafsiri yake ni muda unaotumia kuzunguka jua kwenye njia yake, sasa zikikamilika 365 wanahesabu kama ni mwaka umetimia tayari, zile robo wanazipotezea, so baada ya miaka 4 kunakuwa na robo nne ambazo zinakuwa hazijahesabiwa so zinajumlishwa na kukamilisha siku moja na mwaka unakuwa na siku 366 badala ya 365
 
Back
Top Bottom