Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,169
- 10,478
Hili swali linajibika tena kwa urahisi. Tafuta Uzi wa Chige unaozungumzia Ukweli kuhusu bandari ya Bagamoyo kila taarifa utaipata isiyoegemea upande wowote. Ukumbuke pia ni mradi unaojumuisha nchi 3 (Tanzania, Oman na China).Magufuli anaweza kuwa hayuko sawa ila bahati mbaya mirafi yote inayoambatana na wachina na hao wengine Africa inapeleka utetezi kwenyw hoja zake, sasa ninyi njooni na faida atakazo pata mchina ili tupime nani anafaidika vipi na kwa jinsi gani? Swali kuu linahitaji majibu