Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

taser-m26c-firing.jpg
 
Haaa hata mimi ningepeta kujua. Sikuizi usalami ni mdogo sana hasa ukiwa upande wa upinzani.
 
Kuna uzi humu upo unaeleza A to Z, ila kuna baadhi ya taratibu zimebadilika, search utaupata huo uzi
 
Natamani sana kumiliki hiyo bidhaa, lakini nafikiri nipo huru na sijafungwa kwa sababu sina bastola. Nimeamua nisiwe nayo kabisa
 
Bastola muhimu sana, asikwambie mtu. Ukiwa nayo unakuwa na extra power you can go anywhere and at anytime

Ni kweli mkuu, vilevile unaweza kujikuta umeitumia pasipostahili hasa kwenye jamii iliyojaa watu wasiojielewa....
 
Ni kweli mkuu, vilevile unaweza kujikuta umeitumia pasipostahili hasa kwenye jamii iliyojaa watu wasiojielewa....
Ndio maana unatakiwa kupitia hatua mbalimbali na kati ya vigezo vinavyozingatiwa sana, ni utimamu wako wa kisaikolojia. Hii statement yako pekee, ni kiashiria kuwa huwezi kumudu kumiliki chombo cha moto.
 
Nikuulize kama hizo taratibu na vigezo vinazingatiwa na hivivunjwi, Ditopile (Alazwe panapo stahili) alimiliki kihalali au alivuka baadhi ya vigezo?

Siwezi kumiliki silaha kwa sababu kwa sasa bado sijakomaa kiasi cha kuvumilia kiasi kikubwa cha ujinga. With time, ntakua sawa huenda nikawaza au kufukiria kumiliki silaha.
 
Uvunjifu wa sheria unaofanywa na mtu mwingine, hauhalalishi wewe kuvunja sheria au kutokufuatwa kwa kanuni na taratibu zinazostahili.
Kwa hiyo, hoja inabaki palepale tu kuwa hauko stable kisaikolojia na huna vigezo vya kumiliki silaha. Kama mambo ya kufikirika yanayochochewa na fikra za kudhani, yanakufanya usijimudu na kuhemkwa huku ukilazimisha kila mtu awe na mawazo kama yako kiasi cha kufikiria kuuwa, unadhani utafanya nini siku ukigundua kuwa mwanamke ulie nae anatembea na jirani yako unaemchukia sana kwa sababu amekuzidi pesa?
 
Thank God you are just typing behind the keyboard. Sasa naona unarudia kile kile ambacho nimekisema toka mwanzo kwamba siko jela au kifungoni sasa hivi kwa vile similiki bastola. Nikaenda mbali zaidi kwamba, nafaham sijawa na uwezo wa kuvumilia/kustahimili mikiki mikiki na baadhi ya wapuuzi, siku nikiwa tayari ntafanya mpango wa kumiliki isiniletee matatizo. Kipi haujakielewa hapo?
 
Ukiona urasimu bongo mkubwa kama ilivyo jadi,sema nikupe bastola ya kijadi.Haina usajili,leseni haina wala hakuna atakayejua kama unayo.Bastola hiyo ni kwa ajili ya kuzuia wezi tu si kuua wala kwenda kuibia.

Ni kimti fulani unaweka home kwako basi,wezi wakija nyumba hawaioni basi,kama una mshiko mkubwa,basi unanusa kijiti chako,vibaka/wezi hawakuoni.Hizo za kisasa balaa.
mkuu upo vizuri iyo silaha inagharimu kiasi gani?
 
£50 unapata semi-pistol maeneo haya. Kama jamaa kachacha hata £20. Tunaita asante kosovo.

Personally, I believe a man who walks around with a gun/knife is a pussy!! Seen guys in bongo who are happy to flash it. Yeah, that makes you a man now huh?

Kama unaitumia kwa self-defence nyumbani poa. Ila wife (au binti) asikosee tu siku moja akaji-hairdry mabutu!!

Kila la heri katika jitihada zako za kulijinda wewe na familia yako pia na mali zako. Ombi moja tu ukiipata basi uwe makini sana mahali unapoiweka ili isije ikasababisha madhara makubwa ndani ya familia yako.

Well said mkuu, hapo ndipo kwenye tatizo watu hawajui tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom