Mimi naendelea kujifunza kwa kufanya na kuboresha. So nakushauri:Mambo haya ya web design na graphic design
Kwakuwa interest zake ni web apps huoni huko atakawia sana kuwa na kitu cha kujivunia?Lugha ya kuanza nazo ni Python,JavaScript na PHP
Ooooolisikia wapi!??? 100 years of exaggerations kama kawaidaKila jambo lina mwanzo. Unataka kuanza na vitu gani? (mfano kuna watu wanajua web programming ila hawajui kuunda mobile apps za java, kuna watu wanaweza unda programs za kuendeshea mitambo ila hawajui kuunda programs za mabenki, etc etc) Anza kujifunza kwa kuanza na front end then urudi backend na kadri unavyojaribu kuunda kitu ndio unajifunza zaidi. Programming ni pana sana na huwezi imaliza hata ujifunze miaka 100.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Whole Tech ya Modern web & app development ipo kwenye hizo languages.....Kwakuwa interest zake ni web apps huoni huko atakawia sana kuwa na kitu cha kujivunia?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kusikia au uhalisia? Huwezi maliza kujifunza programming wala coding mana ni logical languages kila siku logics zina expand.Ooooolisikia wapi!??? 100 years of exaggerations kama kawaida
Ungekuwa mwalimu mie manager wako ningekupiga chini leoleo kwa ushauri wako huu kwa new student. Nyie ndiyo Profs ambao wanasifa za kutishatisha wanazuoni as if mlizaliwa mkijua kila kitu. Ushauri wako ni VERY poor & irrelevant.Kusikia au uhalisia? Huwezi maliza kujifunza programming wala coding mana ni logical languages kila siku logics zina expand.
Mfano unaweza jua javascript ila usiweze kuunda japo hata 1% ya complicated algorithms za google search. Cha muhimu kujua unataka kutengeneza nini then komaa nacho.
Mfano forex na other financial web apps zinatawaliwa na python, JS na Java. Ila kibongo bongo ukimwambia mtu akuundie zile mambo dah mtarekebisha makosa kila siku.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ungekuwa mwalimu mie manager wako ningekupiga chini leoleo kwa ushauri wako huu kwa new student. Nyie ndiyo Profs ambao wanasifa za kutishatisha wanazuoni as if mlizaliwa mkijua kila kitu. Ushauri wako ni VERY poor & irrelevant.
Kwakuwa interest zake ni web apps huoni huko atakawia sana kuwa na kitu cha kujivunia?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Duh! Miaka 100?Kila jambo lina mwanzo. Unataka kuanza na vitu gani? (mfano kuna watu wanajua web programming ila hawajui kuunda mobile apps za java, kuna watu wanaweza unda programs za kuendeshea mitambo ila hawajui kuunda programs za mabenki, etc etc) Anza kujifunza kwa kuanza na front end then urudi backend na kadri unavyojaribu kuunda kitu ndio unajifunza zaidi. Programming ni pana sana na huwezi imaliza hata ujifunze miaka 100.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app