Napenda kujifunza kihispaniola. Kama nawe unapenda lugha hii karibu tusaidiane

Wasalaam, Binafsi nilikuwa nimetazamia kujifunza lugha nyingine ya kimataifa, ambayo ni kihispaniola(Spanish,Español). Baada ya kujifunza mwenyewe takriban kwa mwezi mmoja hivi [( source:You tube tutorials,Google play apps and books {Pdfs}) for both written and spoken] nikaona ni vyema kutafta mtu ambae either naye anapendelea kujifunza lugha hii au tayari ni speaker (not necessarily native) ili atleast tuwe tunasaidiana katika lugha hii.

Anyone interested karibu kwa ajili ya kujisomea for educational,personal au leisure.Bienvenidos.
Hola! Cómo estás
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom