Paroco
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 2,227
- 10,186
Mbwa wote hao wewe ni mhehe!?
Usituingilie mzee mapanga kwetu ni nje njeπππππππππ
Mbwa wote hao wewe ni mhehe!?
Mbwa uremboMbwa wote hao wewe ni mhehe!?
Sijawahi kumiss mkoa wowote Tz zaid ya viwanja mbali mbali vya hapa mjini,Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi.
Napenda kuishi miji midogo ama kama ni jiji basi iwe miji midogo nje ya jiji,
Napenda sehem iwe nimezungukwa na mimea zaidi, pawe tulivu, Pawe pia na majirani angalau na kuwe na umeme, internet na huduma nyingine za jamii.
Mfano wa maeneo uwe kama mafinga maeneo ya iringa, tukuyu, singida ile ya naje kidogo na mjini, na sehem nyine kama zenye mifanano hiyo.
Dom pamekaa kimasikin sana , kunaboa mavumbi ukame na jangwa jua kal kupauka tuNjooni Dom huku hatufukuzagi wageni hata wasipo kuja na USAAJE
Mikoan huko bado sana hawana kashkash kama za dar abds kidog mwanza na arusha kulkobak ni majanga tuSijawahi kumiss mkoa wowote Tz yoyote zaid ya viwanja mbali mbali vya hapa mjini,
Nikipataga safari nje ya Dsm huwa naumwa kabisa...japo nishafanya michongo kadhaa kwa mikoa kadhaa ,sijawahi ku-enjoy mazingira na wala si-miss chochote zaid ya moment za washkaji,
To live n die in Dar, period
Umezungumza ukwel kabisa, changamoto za kwenye hii miji midogo ni maisha ya kufatiliana. Nilipangiwa kituo cha kazi ktk mji mdogo flani upo ktk mkoa flani kanda ya kati yani aisee kuna maisha ya kufatiliana sijapata kuona, kuna jamaa yangu nilikuwa naishi nae nyumba moja alinunua gari basi ile siku aliyokuja na gari ilikuwa usiku around saa 2 hivi akitokea Dar wakati anakuja nayo nyumbani kuna jamaa wa bodaboda akawa anamfatilia kwa nyuma mpaka home sasa baada ya kushuka yule jamaa wa bodaboda bila haibu anamwambia jamaa nilikuwa naifatilia hii gari nijue ni ya nani!!!!ππππ Yani upuuzi ulio pindukia.We ni wale mnaopenda kujulikana na wengi, yaan unataka ukae sehem upatawale, uwajue watu wakujue.
Kwa wale busy na mambo yao hawawezi kuchagua size ya mji, yeye atajiangalia yeye anaishije na anafanya nini kwenye huo mji. Wengine siyo kazi yake. No kujuana juana kufuatiliana fuatiliana..
Huo mji mdogo kama siyo Kondoa sijuiUmezungumza ukwel kabisa, changamoto za kwenye hii miji midogo ni maisha ya kufatiliana. Nilipangiwa kituo cha kazi ktk mji mdogo flani upo ktk mkoa flani kanda ya kati yani aisee kuna maisha ya kufatiliana sijapata kuona, kuna jamaa yangu nilikuwa naishi nae nyumba moja alinunua gari basi ile siku aliyokuja na gari ilikuwa usiku around saa 2 hivi akitokea Dar wakati anakuja nayo nyumbani kuna jamaa wa bodaboda akawa anamfatilia kwa nyuma mpaka home sasa baada ya kushuka yule jamaa wa bodaboda bila haibu anamwambia jamaa nilikuwa naifatilia hii gari nijue ni ya nani!!!!ππππ Yani upuuzi ulio pindukia.
Kuna Boss wangu uwa anakusifia sana huko.Nendeni morogoro ifakaraaa papo poa sana ,
Nimesoma Singida,we uko sehemu gani.?Karibu singida mkuu tupo hapa kitambo mahomeboy
Karakana ...we umesoma mwenge auNimesoma Singida,we uko sehemu gani.?
Mkuu Ni rahisi kutoboa Dom kuliko SINGIDA.Ugumu uliopo Tabora ndo uliopo Singida.Dom pamekaa kimasikin sana , kunaboa mavumbi ukame na jangwa jua kal kupauka tu
Panalazmishwa kua sehem bora ila ni kupotezeana muda tu
Singda is the best