Napenda kufahamu swala la ndoa huwa linaangalia pesa au umri ?

Kuoa sio umuri wala pesa bali ni muda, muda huongea zaidi. Ikifika muda muafaka wa kuoa basi haijalishi una umuri gani wala pesa kiasi gani ila utayari wa kuingia ktk ndoa na kuunda familia. Kama mtu hajawa tayari basi ujue hata awe na umuri mkubwa au mdogo na awe na pesa ama lah hawezi kuoa.
 
Habari wana jf napenda kusaidiwa katika hili hivi kuoa ni umri au pesa maana unakuta mtu anaumri mkubwa alafu hajaoa ukimuuliza anasema hana pesa na pia unakuta kijana mdogo mwenye range ya umri 19-25 anapesa ya kutosha lakini akitaka kuoa wazazi/ walezi na ndugu humzuia kwa kusema we bado mdogo.
Kuoa ni umri ndugu na siyo pesa,mana ata ao wenye pesa ktika 10 utakuta 1 tu ndoo anae oa.
 
Back
Top Bottom