Napenda kufahamu maneno haya kwa Kisukuma na Nyamwezi

Nasikiliza hiyo link ya audio niliyoitia hapo juu,.itbhas a gospel slant, lakini kusikia.wanaongea Kisukuma authentic tu mumenirudisha mbali sana.

If you get a min give it listen.

Najiona kama nimerudi nyumbani halafu kuna mami fulani anahubiri hivi.

Badogo bane, degelekagi....

Hahaaaa daaah! Hizo audio poa sana.

Halafu jamaa ana lafudhi ya Kisukuma cha Mwanza.
 
Nimekuuliza kwa sababu nawasikiliza hawa watu wanamuita shetani "shetani".

Kitu kinachoweza kumaanisha kwamba katika kisukuma hakuna neno la shetani per se.

Kitu kinachoweza kumaanisha kwamba concept ya shetani.ni foreign kwa Wasukuma. Kwa sababu kama ingekuwa indigenous ingekuwa na an indigenous name.

Hapana, lipo. Au at least hiyo dhana ipo maana nishawahi kuwasikia wazee wakiiizungumzia hilo.

Ngoja by next week nitakupatia jibu maana nitakuwa na access na kamusi za Kisukuma.
 
Hahaaaa daaah! Hizo audio poa sana.

Halafu jamaa ana lafudhi ya Kisukuma cha Mwanza.

Mimi nilijua authentic tu, I couldn't tell Kwimba from Nassa.

I was in bongo last year. Nimetoka Zenj miadi kibao town. Basi nime release watu naanza kutembea mwenyewe, nimefika Uhuru na Lumumba (place is crazy crowded compared to back in the days) nakuta Wasukuma wanaongelea kuhusu habari za Dar na kujihadhari kuhusu kuibuwa katika mabasi.

Mimi nikaona, this false sense of secrecy is funny, nawasikia kila wanalosema. Halafu inawezekana.si nzuri kwa national unity, but then again.nikasema watanzania mara zote wamekuwa na balance between treasuring their indigenous cultures and maintaining national security.

Sometimes I think I am beginning to be too comfortable thinking in English even more so than in Swahili. At tye expense of Swahili. And don't wven thinknabout Sukuma.

I am ever grateful that my father made us greet him in Sukuma. Also, for the "open door policy" which ensured there was an uncle or such a relation who was more comfortable in Sukuma than Swahili (and ever grateful for that first trip "kumunyanza" at Obay beach) year round at home.

I could almost hear the astonishment at the first sight of the sea.

Enyanza.
 
Mwabeja nho bhagalu na bhagika, bhacheye na bhagobhobho, hiphop na wote!
nimefurahishwa na ushirik wenu. ama kweli Jf ni kisima cha burudani, shule na kuongeza maarifa.
KOMEJAGI BHADUGU BHANE.

Wobeja namhala, henaha nyanza ya maaganiko.

Bhojiko ng'waka kwengaga kwenuku.
 
Compound words
Shingamagaji
Lagangabilili

Kisukuma is very rich kwa misemo, methali nk sikia hizi chache..
1. Kushema chonja kubundala
2. Zunzu atinunaga
3. Ni ya ng'oba nayo kaya
4. Ishasamile shikalekagwa shakaluma iwe
5. Maguzu masese
6.........pls ongezea
 
Kama wewe msukuma kweli tamka neno: CHARACTERISTIC, msukuma chapa ng'ombe hawezi tamka ilo neno.
 
Ninaungana na wewe. Hakuna umoja wa Makende katika Kisukuma. Kuna wingi "Masangu". Na hasa kwa kuwa Masangu ni chakula kinachotokana baada na mkusanyiko wa Vyakula/nfaka mbalimbali zikipikwa pamoja Mf. Mandege (Mahindi), Nshiili (Choroko), Ng'halanga (Karanga), Ndulu (Kwa kiswahili ???), n.k. na vikorombezwo vongonevyo kutegemea na uwepo. Hakuna umoja wa makande!

Mkuu uminichekesha sana hapo kwenye red, Ulikuwa unamanisha Makande yaani Masangu ama?
 
Kama wewe msukuma kweli tamka neno: CHARACTERISTIC, msukuma chapa ng'ombe hawezi tamka ilo neno.

Naye mzungu chapa England akiweza kutamka neno hili GHULYAGHUNOGA, basi msukuma chapa ng'ombe anaweza kutamka neno CHARACTERISTIC. Mzungu akishindwa sioni ajabu ya msukuma kushindwa kutamka hilo neno.

After all litakuwa halimsaidii chochote maishani mwake.............
 
<Mwakilyambiti >Bung'wangoko >ngakakohbwona

Mkuu nyamiswi naomba kurekebisha kidogo kwani unakosea namna inavyotakiwa unaiweka kwa kiswahili swahili

1. Ng'wajilyambiti
2. Bhugwangoko
3. Lyamidati
4. Nhungumalwa
5. Imalaseko
6. Imalabhupina
7. G'wamapalala
8. Gumalija
9. Bhupandagila
10. Pandagichiza
11. Gwambiti
 
Last edited by a moderator:
Shetani ni Shigh'wegh'we.
Nimekuuliza kwa sababu nawasikiliza hawa watu wanamuita shetani "shetani".

Kitu kinachoweza kumaanisha kwamba katika kisukuma hakuna neno la shetani per se.

Kitu kinachoweza kumaanisha kwamba concept ya shetani ni foreign kwa Wasukuma. Kwa sababu kama ingekuwa indigenous ingekuwa na an indigenous name.
 
Bheng'we mliho? Mlihaya ginehe? Mwobheja sana.....ahenaha Ng'wabagalu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu nyamiswi naomba kurekebisha kidogo kwani unakosea namna inavyotakiwa unaiweka kwa kiswahili swahili

1. Ng'wajilyambiti
2. Bhugwangoko
3. Lyamidati
4. Nhungumalwa
5. Imalaseko
6. Imalabhupina
7. G'wamapalala
8. Gumalija
9. Bhupandagila
10. Pandagichiza
11. Gwambiti


Chuuuuu nongeje nane..

12. Kigwanh'ona
13.Ilalwashimba
14.Makoyesengi
15.Bhugayambelele
16.Mishagiwela
17.Ibadakuli
18.Ikungulyamadaso
19.Ntelemko gwi menya
20.Kolomije (inasemekana msukuma alishindwa kutamka Call me Jay)

"Nulu nalale nisana yekolonjaga yoyi duhu edunia ngw'anawane gwashika omoyo,wela na kucheyeka ni tolo handa,nakula sebha nigagatila." ishokelage hangi okwemba.

Onene nalindakama litambi lya bhasukuma bha Shinyanga na Nh'obhola(Tabora)

Giko lulu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom