Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,170
- 6,518
Hamjambo ndg zangu watanzania kwanza samahani kama nimeonesha ukabila katika kingereza kuna compound words mf. massmedia ambapo mass lina maana yake na media kivyake lakini yakiungana inaleta maana nyingie.
kwa kiswahi pia yapo mf. mwanamaji na mwanajeshi naomba mnitajie maneno ya kisukuma katika mfumo wa compound words.
mf. mayu bhuko mama mkwe.
kama sijaeleweka humu kuna wataam waweza boresha. amani iwe nanyi.
NIGUNANAGI BHADUGU BHANEE