Napenda kufahamu maneno haya kwa Kisukuma na Nyamwezi


Chuuuuu nongeje nane..

12. Kigwanh'ona
13.Ilalwashimba
14.Makoyesengi
15.Bhugayambelele
16.Mishagiwela
17.Ibadakuli
18.Ikungulyamadaso
19.Ntelemko gwi menya
20.Kolomije (inasemekana msukuma alishindwa kutamka Call me Jay)

"Nulu nalale nisana yekolonjaga yoyi duhu edunia ngw'anawane gwashika omoyo,wela na kucheyeka ni tolo handa,nakula sebha nigagatila." ishokelage hangi okwemba.

Onene nalindakama litambi lya bhasukuma bha Shinyanga na Nh'obhola(Tabora)

Giko lulu...

Bhugwambelele
 
Nyani Ngabu Shetani kisukuma anaitwaje?
Hivi kwenye kisukuma kuna concept ya shetani kweli? Maana ninachojua deity kwa maana ya Mungu ndiyo anatambulika, Welelo, Ng'wenekele, etc. Ubaya kwa maana ya matendo/dhambi ni shibhi. Sasa kwa shetani kama jina/concept sijasikia
 
Hivi kwenye kisukuma kuna concept ya shetani kweli? Maana ninachojua deity kwa maana ya Mungu ndiyo anatambulika, Welelo, Ng'wenekele, etc. Ubaya kwa maana ya matendo/dhambi ni shibhi. Sasa kwa shetani kama jina/concept sijasikia
Shukurani sana mkuu. Wabheja nnho namhala.
 
Ntogwiisangu = Mpenda makande.

Ntogwi = Mpenda
Isangu = Makande

Lemihagate = jua katikati

Lemi = jua
Hagate = katikati
Kumbe na wewe msukuma? Siku hizi kila MTU msukuma..Huko tunakokwenda matangazo ya kazi yatakuwa yanasema " The applicant must be fluent in English kiswahili and kisukuma"
 
Shukurani sana mkuu. Wabheja nnho namhala.
Kuna kitabu kimoja kiliandikwa na padre Wa Missionaries of Africa pale Bujora Museum. Kinaelezea pamoja na mambo mengine imani ya kidini ya kisukuma. Nadhani kinaitwa Hashikome pamoja na mambo ya tiba za kisukuma, kama vile kochembelwa ngoko/kosweja ngoko. Very informative ila kimeandikwa kwa kisukuma pia na kiswahili kidogo
 
Masala kulangwa ..... Mayo mayooo namhulaga ooh shing'weng'we:p Shing'weng'we alikuwa dezain flani ya jini amaizing.
 
Kalagu
Kiiizeeeee

Ki nu kunu ki
Gakila mongo gana waya
Nulu ntemi gunsunsubhya
Ng'ondi yang'wise yagunigila makono abhili
Napinda hisaga nukoma likunza

Yee nang'wizuka mama gete! Digashaga bhujiku ng'watambilija magulu nang'wandya gwimba "mbaaale mbale kabhili gushingishitwelyambogo gunsangu mbalage oja nitendele lyabhupolipo. Kunaguyu ......."

Lalaga ngikulu mjilugu, tambilijaga jibhyala yise ong'wanonogi lihamo nabhabhusigonona guko nabhangata yalyochi, ghalitumama duhu agabhogoshi ako oleka, galibhakinda pya abhanamitala.

Hahahahahaha
 
Back
Top Bottom