Napenda kufahamu kuhusu ajira za Askari Magereza na idara ya uhamiaji

man of sun

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
331
460
Hizo sector huwa wanatoa majina kwa ajili ya usahili baada ya mda gani maana nimuda na deadline ishapita lakini bado kabisa hawajatuma Sasa sijui kwanini

Na huwa wanata watu kwenye usaihili kwa kupitia simu namba au wanatuma majina Yao
 
mkuu kwanz hongera kwa ujenz wa taifa pia hongerea kwa kuwa na muono wa kutaman kujenga taifa. kwa ufupi siku hizi mambo yamebadilika sana kupata nafasi hizo lazima uwe na vigezo maalumu na kubwa zaid uwe lazima umepitia jkt( jeshi la kujenga taifa)
 
mkuu kwanz hongera kwa ujenz wa taifa pia hongerea kwa kuwa na muono wa kutaman kujenga taifa. kwa ufupi siku hizi mambo yamebadilika sana kupata nafasi hizo lazima uwe na vigezo maalumu na kubwa zaid uwe lazima umepitia jkt( jeshi la kujenga taifa)
Magereza wameanza kuita watu kwenye interview wenye elimu ya form4 na form6 mim.nimeombea huku sumbawanga tumeambiwa kesho tuende wilayan
 
Vp Kwa wale waliotuma maombi makao makuu Msalato, wale wenye Fani (Degree,Diploma na Certificate)
 
Hivi wakubwa mishahara ya magereza ipoje..?na je inatofautiana na PT,ZT na UT..?? Anaelewa naomba anieleweshe..
 
vp wewe umepitia jkt?sisi ambao hatujapitia tutaitwa kwel?
Wanawaita tu aise kwenye usaili mi mwenyewe jkt sijapita niliambatinisha cheti cha skauti tu nikatest zari wakaniita tena nimeomba km form six ngoja tukawasikilize watatuambia nin au ndo kutuchora tu hahaha
 
Kwasababu trh 10 ilikua sio siku ya kazi so inawezekanaje uitwe 11 na barua zilikua mwisho wakituma maombi trh 10 afu Kuna jamaa wa idara akaniambia Ijumaa ndio wanatoa watu
 
Back
Top Bottom