Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,683
Kuna baadhi ya wanawake ambao huwa na hulka za kiume, mavazi, kampani na vitu vingi afanyavyo ni vya kiume, wengine huwa wababe na wakakamavu kama wanaume, Je wanawake wa aina hii huwa na wapenzi wa kiume? na je huwa wanahisia na hamu ya mambo yetu kama wanawake wengine? Na je hufikishwa kileleni kama wanawake wengine?