Napenda kila mwanamke anayekatiza mbele yangu

Je mlevi je ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni hiyo hivyo pia!

Mlevi na unzinzi ni kama pete na chanda.

Mlevi anaweza Mlala mwanamke ambae ni ndugu au hata mwanae ambapo angekuwa hajalewa asingethubutu kufukiria kumlala ndugu au mwanae.

Ulevi ni noma !

Ndiyo maana Imeandikwa “msiguse, msinuse, msionje wala kunywa kitu chochote chenye kuleta unajisi”.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakua na pepo la ngono lakini pia angalia sana usije kuwa na nyota ya hiv
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom