Napenda jinsi Watanzania wanavyopenda chama chao

Hamna shida na wimbo huu. Chama kujipigia debe si jambo la ajabu. Hata mwaka 2017 mlikuwa mnaimba Uhuruto tano tena.
Hizo ni tambo za kisiasa.
 
Yaani Tz kama huna fulana au shati za rangi ya kijani itakula kwako, jamaa wa pipoooz pawa hutembelea kichapo.

vuruguccm.jpg
 
He he kwa wakenya hii ni nostalgia ya dem dayz under one party rule.KANU chama cha baba na mama chini ya rais mtakatifu
🎵🎵Tawala kenya tawala raisi moi... 🎵

Huko ambako mnatumia nguvu nyingi kulazimisha kila kitu... yaani Tanzania ya leo ni Kenya ilivyokua miaka 25 iliyopita
aisee kazi ipo mazee , kumbe ni 2019...alfu vipi namuona yule mrundi anajifanyaga mtz,amerudi humu kwa fujooo...utaskia anawatukana watz eti sio wazalendo😂....immigration dar wamelalaa sana, jamaa angefaa awe segerea au bujumbura na wenzakee.! siku akikamtwa sijui itakuwa vipi na hizo stori zake za eti yy ni muha wa kutoka kigoma! 😂
 
Huyo hawawezi wakamzingua maana ameshajua siri ni kuimba mapambio ya kusifia juhudi, yaani kwa hilo ataachiwa atambe kitaa bila bughdha. Siku akija kujisahau aponde juhudi...
Unakumbuka zile nyimbo za miaka ya themanini, tulikua tunaimba mapambio ya kumsifu rais Moi na KANU.
 
Kanisani wakiambiwa imba hawaimbi.
Wakiambiwa piga makofi, hawapigi.
Wakiambiwa simama, hawasimami.

Hebu tuachane na hayo. Hivi Republicans nao kwenye vikao vyao vya ndani Wana nyimbo za kumpongeza na kumsifia mwenyekiti?
Mambo wanayoyafanya wanachama wa CCM kwa mstakwa yao wenyewe kwa ridhaa yao wenyewe, wewe usio mwana CCM wala hukushurutishwa kwa namna yoyote ile kuyafuata inakuathiri vipi?

Ninyi chadema wenyewe mnawaiga CCM mpaka na nyimbo zao, acha unafki uende mbinguni.
 
Back
Top Bottom