Napenda CCM iondoke lakini sio kwa njia hii!

Naam!mimi ni mwanaccm niliyejiunga kutokana na mfumo tu.

Ni mwanaccm mnafiki niliyeichukia ccm kwa miaka kadhaa.

Ni mwaaccm niliyeipenda Chadema na kuishabikia na kuipenda na kuisupport.

Ni mwanaccm niliyetaka ccm ingo'lewe madarakani ili tu ijifunze na kurudi ikiwa na akili na nidhamu ya kutupeleka mbele.

Sikutegemea wala sitarajii kuwa ccm itaondolewa madarakani kwa njia ya kimagumashi kama hii tunayoaminishwa kwa sasa.

Eti EL asimame kupitia Ukawa halafu ashinde URAIS...!!! Hii ni Joke ya mwaka.

Why should CDM au CUF au NCCR au UKAWA wategemee EL kuiondoa ccm kwa msaada wa EL Mwanaccm mbobezi,???

Kwa kutegemea njia hii UKAWA nitakeni radhi ....nitawatosa mchana kweupeeee!@

Siasa ni sanaa na wanasiasa ni wasanii lakini hiki kinachoendelea ni upuuzi na hautakubalika wala kueleweka.


Ilishasemwa na wana ccm tunajua kuwa Upinzani/Mpinzani wa kweli katika nchi hii atatokea CCM. Sasa yanapotokea ndo hivi wanaCCM yanatujaaa Mapovu yasiyofutika mpaka 25/10/2015
 
simpendi el ila siipendi ccm zaidi.
hii ni political turn out mbaya sana lakini KAMA INAHITAJIKA KUMUUA SHETANI KWA KUTUMIA WAFUASI WAKE ACHA AUAWE TU.
HAWA WAFUASI WATADHIBITIWA TU!!
 
Kinachotokea Kesho ni ACT kuwa chama kikuu cha upinzani...,kwa maana ya kimantiki, kwani Lowassa kuingia CDM kutaigeuza ukawa kuwa vyama vinavyotaka kuingia ikulu bila kuwa na falsafa inayoeleweka.

CDM ilikuwa chama cha kupinga ufisadi,sasa kitageuka chama cha aliyekuwa fisadi mkuu. CDM wanai-underestimate CCM, lakini wasitegemee CCM watawatazama CDM na Lowassa.kitakachotokea ni kuwa CDM itakuwa weaker in resolve, kwa kuwa sasa hawataweza tena kuwaita viongozi waliobaki CCM mafisadi.

Ingawa CCM kuna mafisadi, ila Lowassa na wachache watakaomfuata wakienda CDM, ndio wataendelea kuwa mafisadi. watakaobaki woote watapata UMALAIKA wa ghafla.

Tegemeeni full offensive kutoka CCM,huku narrative ikiwa Lowassa na Kundi lake ndio sababu ya kashfa nyingi za ufisadi. CDM wangeweza kupata ahueni kama angehamia mtu kama warioba,Dr.Salim au mwandosya, sio Lowassa.

CDM will be on defensive for the next few months as well as the next few years...,

CCM will not win as huge as it used to, but it will find a common goal to unite and rally behind with, and that is not the sort of news CDM wanted at this time.
 
Ilishasemwa na wana ccm tunajua kuwa Upinzani/Mpinzani wa kweli katika nchi hii atatokea CCM. Sasa yanapotokea ndo hivi wanaCCM yanatujaaa Mapovu yasiyofutika mpaka 25/10/2015

Mbona mwana ccm yupo siku nyingi Dr.SILAA...Au huamini hili!
 
Lowassa hajasema wala kutenda kiuhakika kwamba anataka au hata kufikiria khamia upinzani. Kauli yake rasmi ni ...sina plan b ...asyenitaka yeye ndiye aondoke CCM. Wanaoeneza uvumi huu ni vijana tena toka chama tawala!

Njoo ubadili kauli tuanze moja
 
Back
Top Bottom