Napenda CCM iondoke lakini sio kwa njia hii!

Naam!mimi ni mwanaccm niliyejiunga kutokana na mfumo tu.

Ni mwanaccm mnafiki niliyeichukia ccm kwa miaka kadhaa.

Ni mwaaccm niliyeipenda Chadema na kuishabikia na kuipenda na kuisupport.

Ni mwanaccm niliyetaka ccm ingo'lewe madarakani ili tu ijifunze na kurudi ikiwa na akili na nidhamu ya kutupeleka mbele.

Sikutegemea wala sitarajii kuwa ccm itaondolewa madarakani kwa njia ya kimagumashi kama hii tunayoaminishwa kwa sasa.

Eti EL asimame kupitia Ukawa halafu ashinde URAIS...!!! Hii ni Joke ya mwaka.

Why should CDM au CUF au NCCR au UKAWA wategemee EL kuiondoa ccm kwa msaada wa EL Mwanaccm mbobezi,???

Kwa kutegemea njia hii UKAWA nitakeni radhi ....nitawatosa mchana kweupeeee!@

Siasa ni sanaa na wanasiasa ni wasanii lakini hiki kinachoendelea ni upuuzi na hautakubalika wala kueleweka.
Lowassa hajasema wala kutenda kiuhakika kwamba anataka au hata kufikiria khamia upinzani. Kauli yake rasmi ni ...sina plan b ...asyenitaka yeye ndiye aondoke CCM. Wanaoeneza uvumi huu ni vijana tena toka chama tawala!
 
Mkuu hakuna kitu kama hicho wala usihofu !. Hizi ni propaganda za wachumia tumbo wa Lowassa pamoja maCCM.

UKAWA hawawezi kufanya huo upuuzi.

Naam!mimi ni mwanaccm niliyejiunga kutokana na mfumo tu.

Ni mwanaccm mnafiki niliyeichukia ccm kwa miaka kadhaa.

Ni mwaaccm niliyeipenda Chadema na kuishabikia na kuipenda na kuisupport.

Ni mwanaccm niliyetaka ccm ingo'lewe madarakani ili tu ijifunze na kurudi ikiwa na akili na nidhamu ya kutupeleka mbele.

Sikutegemea wala sitarajii kuwa ccm itaondolewa madarakani kwa njia ya kimagumashi kama hii tunayoaminishwa kwa sasa.

Eti EL asimame kupitia Ukawa halafu ashinde URAIS...!!! Hii ni Joke ya mwaka.

Why should CDM au CUF au NCCR au UKAWA wategemee EL kuiondoa ccm kwa msaada wa EL Mwanaccm mbobezi,???

Kwa kutegemea njia hii UKAWA nitakeni radhi ....nitawatosa mchana kweupeeee!@

Siasa ni sanaa na wanasiasa ni wasanii lakini hiki kinachoendelea ni upuuzi na hautakubalika wala kueleweka.
 
Lowassa hajasema wala kutenda kiuhakika kwamba anataka au hata kufikiria khamia upinzani. Kauli yake rasmi ni ...sina plan b ...asyenitaka yeye ndiye aondoke CCM. Wanaoeneza uvumi huu ni vijana tena toka chama tawala!

Message is clear and sent!!
 
Naam!mimi ni mwanaccm niliyejiunga kutokana na mfumo tu.

Ni mwanaccm mnafiki niliyeichukia ccm kwa miaka kadhaa.

Ni mwaaccm niliyeipenda Chadema na kuishabikia na kuipenda na kuisupport.

Ni mwanaccm niliyetaka ccm ingo'lewe madarakani ili tu ijifunze na kurudi ikiwa na akili na nidhamu ya kutupeleka mbele.

Sikutegemea wala sitarajii kuwa ccm itaondolewa madarakani kwa njia ya kimagumashi kama hii tunayoaminishwa kwa sasa.

Eti EL asimame kupitia Ukawa halafu ashinde URAIS...!!! Hii ni Joke ya mwaka.

Why should CDM au CUF au NCCR au UKAWA wategemee EL kuiondoa ccm kwa msaada wa EL Mwanaccm mbobezi,???

Kwa kutegemea njia hii UKAWA nitakeni radhi ....nitawatosa mchana kweupeeee!@

Siasa ni sanaa na wanasiasa ni wasanii lakini hiki kinachoendelea ni upuuzi na hautakubalika wala kueleweka.

Braza umepaniki
 
na wameonesha udhaifu sana yaani hakuna hata kiongozi mkuu wa chama hata mmoja anayekanusha huu uvumi.. hata hii mikutano mikubwa.. wako kimya.. kwakweli.. kazi tunayo wengine.. na hivi vyama.. ukweli kuna sintofahamu kubwa.. na kuna kazi kubwa ya kuelimisha hasa baadhi ya vifuata upepo ndani ya cdm..
 
Naichukia CCM sana.Let me be frank,naichukia kiasi kwamba nikiona yale magwanda yao, mwili mzima una sisimka.Hata hivyo niungane na wewe mkuu, napenda CCM iondoke,lakini kama replacement yake ni hii ya fisadi Mbowe aliyefisidi billioni 10 za fisadi Ngoyai, nilitakalo silijui.
Naam!mimi ni mwanaccm niliyejiunga kutokana na mfumo tu.

Ni mwanaccm mnafiki niliyeichukia ccm kwa miaka kadhaa.

Ni mwaaccm niliyeipenda Chadema na kuishabikia na kuipenda na kuisupport.

Ni mwanaccm niliyetaka ccm ingo'lewe madarakani ili tu ijifunze na kurudi ikiwa na akili na nidhamu ya kutupeleka mbele.

Sikutegemea wala sitarajii kuwa ccm itaondolewa madarakani kwa njia ya kimagumashi kama hii tunayoaminishwa kwa sasa.

Eti EL asimame kupitia Ukawa halafu ashinde URAIS...!!! Hii ni Joke ya mwaka.

Why should CDM au CUF au NCCR au UKAWA wategemee EL kuiondoa ccm kwa msaada wa EL Mwanaccm mbobezi,???

Kwa kutegemea njia hii UKAWA nitakeni radhi ....nitawatosa mchana kweupeeee!@

Siasa ni sanaa na wanasiasa ni wasanii lakini hiki kinachoendelea ni upuuzi na hautakubalika wala kueleweka.
 
kama ni mpinzañi na una akili timamu uwezi shabikia baadhi ya makapi hasa makapi ambayo yanaonesha hayafai kurudiwa kuchujwa...
 
Endapo #UKAWA watakubali kumpokea Lowasa na kumpitisha kuwa mgombea wa uraisi nitawaona viongozi wote wa #UKAWA ni wajinga kabisa ,sitawaamini tena .najua upinzani tunahitaji ushindi lakini kumweka Lowasa dada Tetty hapo utanielewa #UKAWA USHINDI BILA LOWASA INAWEZEKANA
 
Naam!mimi ni mwanaccm niliyejiunga kutokana na mfumo tu.

Ni mwanaccm mnafiki niliyeichukia ccm kwa miaka kadhaa.

Ni mwaaccm niliyeipenda Chadema na kuishabikia na kuipenda na kuisupport.

Ni mwanaccm niliyetaka ccm ingo'lewe madarakani ili tu ijifunze na kurudi ikiwa na akili na nidhamu ya kutupeleka mbele.

Sikutegemea wala sitarajii kuwa ccm itaondolewa madarakani kwa njia ya kimagumashi kama hii tunayoaminishwa kwa sasa.

Eti EL asimame kupitia Ukawa halafu ashinde URAIS...!!! Hii ni Joke ya mwaka.

Why should CDM au CUF au NCCR au UKAWA wategemee EL kuiondoa ccm kwa msaada wa EL Mwanaccm mbobezi,???

Kwa kutegemea njia hii UKAWA nitakeni radhi ....nitawatosa mchana kweupeeee!@

Siasa ni sanaa na wanasiasa ni wasanii lakini hiki kinachoendelea ni upuuzi na hautakubalika wala kueleweka.
Teh tih toh! Ati mwana ccm ha ha haaa! Mwana ccm anayeipenda Chadema.. Aisee MNA vituko nyie..!
 
Endapo #UKAWA watakubali kumpokea Lowasa na kumpitisha kuwa mgombea wa uraisi nitawaona viongozi wote wa #UKAWA ni wajinga kabisa ,sitawaamini tena .najua upinzani tunahitaji ushindi lakini kumweka Lowasa dada Tetty hapo utanielewa #UKAWA USHINDI BILA LOWASA INAWEZEKANA

Japo sijakuelewa lakini nikiaminicho na ninategemea wanachama na viongozi wa CDM wanalijua hili kwamba CDM bila Lowassa inaweza sana Tena sana
 
Endapo #UKAWA watakubali kumpokea Lowasa na kumpitisha kuwa mgombea wa uraisi nitawaona viongozi wote wa #UKAWA ni wajinga kabisa ,sitawaamini tena .najua upinzani tunahitaji ushindi lakini kumweka Lowasa dada Tetty hapo utanielewa #UKAWA USHINDI BILA LOWASA INAWEZEKANA

Sekeseke la Akatwe asikatwe limehamia Chadema...tuone ukomavu wao wa kisiasa sasa.
 
Chama kimenunuliwa, m/kiti karudia asiri yake ya kusujudu pesa tokea wakiwa watoto sasa mafisadi wanahama CCM wanavamia CDM ..Liwassa na chain yake wanahamia CDM rasmi na najiuluza, wataendelea kuwaita chenge, rostamu na Tibaijuka mafisadi? make boga lina maua yake pia.
 
Back
Top Bottom