Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Jaribh kuchunguza utaelewa wapare wengi Ni wasabato .

Japo wapo dini zingine

Wapare waislamu wengi wanatokea huko MAKANYA
SI kweli Upareni Kuna mchanganyiko maalumu...waislam (Ugweno, Usangi+Mwanga), Roman Katoliki (Kisangara, Chanjale, Ishinde) KKKKKKKKKT (Mwanga,Same, Mbaga, Manka) na Sabato kwa mbaali (SUJI, Makanya & Hedaru)
 

Attachments

  • IMG-20210213-WA0000.jpg
    IMG-20210213-WA0000.jpg
    37.7 KB · Views: 5
Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato.

Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli.

UPDATE:
Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya kupokea mahari tumefika huku tunatishwa Makande. Disgusting

View attachment 1588961
Same
 
45 Reactions
Reply
Back
Top Bottom