Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,013
- 26,326
Dubai ya mpitimbiUpareni ni Dubai ndogo
Dubai ya mpitimbiUpareni ni Dubai ndogo
Nilitaka kushangaa Msambaa anaye-complicate mpaka uwe na Gari wa wapi huyo?
Nani kasema wapare ni wasabato? Hilo ndo naskia Leo kutoka kwakoKila mpare Ni msabato .
What happened to them
Kati ya wapare 10 , 8 Ni wasabato
Jaribh kuchunguza utaelewa wapare wengi Ni wasabato .Nani kasema wapare ni wasabato? Hilo ndo naskia Leo kutoka kwako
N kweli au non Christian.Nani kasema wapare ni wasabato? Hilo ndo naskia Leo kutoka kwako
Ndo maana wamebaki maskini Karne na karnemsambaa hawezi complicate maisha complic
SI kweli Upareni Kuna mchanganyiko maalumu...waislam (Ugweno, Usangi+Mwanga), Roman Katoliki (Kisangara, Chanjale, Ishinde) KKKKKKKKKT (Mwanga,Same, Mbaga, Manka) na Sabato kwa mbaali (SUJI, Makanya & Hedaru)Jaribh kuchunguza utaelewa wapare wengi Ni wasabato .
Japo wapo dini zingine
Wapare waislamu wengi wanatokea huko MAKANYA
AiseeWachaga wazuri bana eboo 😂😂😂 af vina ladha flani ya pekee. Sijui sababu vinakulaga sana ndizi
Mpare awe na kishundu namna hiyo?SI kweli Upareni Kuna mchanganyiko maalumu...waislam (Ugweno, Usangi+Mwanga), Roman Katoliki (Kisangara, Chanjale, Ishinde) KKKKKKKKKT (Mwanga,Same, Mbaga, Manka) na Sabato kwa mbaali (SUJI, Makanya & Hedaru)
SameNimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato.
Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli.
UPDATE:
Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya kupokea mahari tumefika huku tunatishwa Makande. Disgusting
View attachment 1588961
Mpare awe na kishundu namna hiyo?
Labda wa huko UsangiWapare wana matako Sana kaka afu mbaya zaidi ukute ana squirt
Labda wa huko Usangi
Haaaaa Haaaaa 😂 jamani nimecheka 😂 😂 😂Hiyo combination ya Mpare na Msambaa itazalisha BOMU la Umalaya Extra Supermax
Mbwahaaaa bwahaaaHawanaga presha na maisha. Umaskini imekua sehemu ya DNA Yao, ukipita mitaa ya Kariakoo ukawaona wanavyotembeza kashata na kahawa comfortable kabisa. Pia ukipita Tanga ardhi Safi lakini hawalimi na wako sawa tu
Wachaga wazuri bana eboo 😂😂😂 af vina ladha flani ya pekee. Sijui sababu vinakulaga sana ndizi
Dogo kumbe nawewe no mtoto wa mtemi.....Asije kua demu wangu wa zamani tu...hapo masandare mademu tumewala sanaa tulio soma same sec
Kama wewe umesoma enzi za mtemi na charade yake basi siwezi kua dogo kwako..mtemi mimi nilimkuta nikiwa nafuatilia vyeti vyanguDogo kumbe nawewe no mtoto wa mtemi.....