Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Demu mmekutana anauza mgahawa tu wiki moja ashakuomba 140,000/= tofali ngapi hizo? Happ bado sijapewa tamu
Kumbe wewe shida yako ni utamu, na yeye shida yake ni pesa. Nini unashangaa hapo?
Wote malengo yenu ni ya kizinzi.
Mwanamke ukionyesha kumpenda ile kuwa pamoja seriously hata kukuomba hela anaona aibu.
Ulitaka kumla bure bure ni mkeo?
 
Jana nilikuwa na kamoja mahali flani nakakatia pindi la Masters mtu bee, kamodo flani ila kana mambo ya kizungu zungu yani kamentia hamasa lazma nikaombe mzigo. Ooh, nmesahau kukwambia ni kazuri pia keupe hako karefu yani duh kila nikikawaza naskia kale kanyimbo ka Zunchu kananizonga kichwani😁😂😂😂
 
Jana nilikuwa na kamoja mahali flani nakakatia pindi la Masters mtu bee, kamodo flani ila kana mambo ya kizungu zungu yani kamentia hamasa lazma nikaombe mzigo. Ooh, nmesahau kukwambia ni kazuri pia keupe hako karefu yani duh kila nikikawaza naskia kale kanyimbo ka Zunchu kananizonga kichwani
Ama kweli yanayosemwa kwenye huu uzi hamjasingiziwa

Kwa uzuri kweli mabinti wa kichaga ni visu haswa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe wewe shida yako ni utamu, na yeye shida yake ni pesa. Nini unashangaa hapo?
Wote malengo yenu ni ya kizinzi.
Mwanamke ukionyesha kumpenda ile kuwa pamoja seriously hata kukuomba hela anaona aibu.
Ulitaka kumla bure bure ni mkeo?
Sasa abaki na utamu wake na Mimi na pesa zangu. Nikienda Sinza nachagua na haizidi 20,000 per session
 
Back
Top Bottom