Nape: Wapinzani wasipige kelele uchaguzi Igungu umekwishwa

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnuye amesema uchaguzi wa Igunga umemalizika na watu waache kupiga kelele hovyo kwenye vyombo vya habari.

Igunga tumeshinda kwa kishindo kikubwa, watu wanasema chama kimegawanyika ni uzushi kwani kama kimegawanyika kisingeweza kupata ushidi mkubwa.
Tusingeshinda kata 17 kati ya 22 zilikuwepo hivyo nawaambia CDM tumewashinda pamoja na kusaidiwa na vyombo vya habari tunawataka waache kulalamika kila matokeo yanapotangazwa alisema Nape.

CCM walikuwa hawapambani na CDM bali na vyombo vya habari vyenye nguvu na vilivyokuwa vikisaidiwa na baadhi ya mataifa yenye nguvu yasiyoitakia mema nchi.

SOURCE: MWANANCHI OCT 9 2011
 
Hili lujamaa toka kimeanza kujipaka wanja linaongea upupu kweli kweli. Kila siku tunaowasikia wakisherehekea ushindi wa Igunga ni CCM, ni jana tu Mkoani Kilimanjaro wamefanya sherehe iliyohutubiwa na Vicky Nsilo kusherehekea mambo yaliyokwishapita ya Igunga na sasa wanaandaa maandamano Dar kujipongeza kwa wizi wao wa Igunga, leo hili litakataka linakurupuka na Upupu wake!
 
Atakuwa anatafuta bwana huyo Mr.Said,muache amèfilisika kisiasa.
 
Vyombo vya habari?, wasomaji wa magazeti igunga ni wachache sana! Ccm ndo waliokuwa wakigawa magazeti ya uhuru hadi vijijini, igunga tuliweza kusikia chanel nyingi za redio na uchaguzi ulipoisha zote zimepotea hata ile ya rage nayo imepotea!. Uchaguzi ndo umemalizika lkn siasa bado!
 
Ukiangalia umri wa huyu Nape, naamini pia ameelimika vizuri (kama sijakosea), ungedhani angekuwa na fikra na maneno yenye busara lakini ni bonge ya hasara kwa kweli. Mtu ungedhani kuwa angeonyesha mwelekeo wenye akili alipopewa cheo chake lakini duh!
I think he'll do better to leave politics and become a drag queen.
 
Ukisha kuwa ndani ya CCM hata ukiwa na degree za maana 200 utaonekana kama Khadija Kopa tu au Tambwe hakuna kitu .Kama unabisha anza kupima wasomi mahili waliomo ndani ya CCM .Wana degree moja au 2 au PhD's .Woooooooooote kabisa kwa umoja wao hawana tofauti na Prof Maji Marefu Mbunge wao .
 
Wanajamvi,
Unajua ukiwa unatetea kitu ambacho kimekosa mvuto au hakuna hoja unayoweza kuisimamia kutetea kitu hicho.Itakulazimu kutumia mbinu zingine ambazo hazina mashiko kukitetea kitu hicho.CCM Haina mvuto na wameishiwa sera za kuwashawishi wananchi.Hata kama ungekua na Phd lazima tu utaanza kuwa mropokaji.Kwani mnamuonaje yule mzee mkama,i thought is the smart guy,lakini amekuwa Kiongozi wa ngazi za juu CCM kwa takribani mwaka mmoja tu lakini mmeona jinsi nanavyoropoka.

Janga kubwa liko kwa huyu kijana Nape,Inadhaniwa kwamba vijana wana fikra mpya.Lakini huyu jamaa wa CCM ameprove wrong.Anachojua Nape ni taarab.Siku moja alisema kwamba ataimba taarabu zake kwa sana ilimradi tu awakere CHADEMA.Kijana ukibehave kama Nape ujanani,uzeeni utakuwa mchawi.
 
Haswaaaaa! hapo umenena.
 
Wanajamvi,
USHABIKI MWINGINE MATATIZO SANA! MATUSI YANAYOSEMWA HAPA KISA NI KIMOJA TU CDM WAMAUMIZWA NA AINA YA SIASA NINAYOENDESHA BASI! HIVI MNACHEZA MPIRA TIMU PINZANI INAWEKA MCHEZAJI ASIYEKUWA NA UWEZO KABISA HALAFU NYIE MNAANZA KUWAAMBIA WAMTOE WAWEKE MWENYE UWEZO INAINGIA AKILINI HII??? KWANINI MSITUMIE UDHAIFU HUO KAMA KWELI UPO KUJENGA TIMU YENU ISHINDE???? BADALA YAKE UZOEFU UNAONYESHA HUWA INATUMIKA NGUVU KUBWA KUTAKA MCHEZAJI MWENYE MADHARA KWENU ASICHEZE ILI MCHEZO UWAENDEE AFADHALI... UKIONA MATUSI NA VISHAWIWSHI KUJARIBU KUONYESHA NAPE ANAVYOVURUGA UTADHANI WANA MAPENZI YA DHATI NA CCM.. CHANGAMOTO KWENU KAMA NI WA KWELI NYAMAZENI TUMIENI UDHAIFU HUO KUVIJENGA VYAMA VYENU NA KUBOMOA CCM... VINGINEVYO HAMNA TOFAUTI NA MACHOZI YA MAMBA ....

QUOTE=Gracious;2618713]Wanajamvi,

Janga kubwa liko kwa huyu kijana Nape,Inadhaniwa kwamba vijana wana fikra mpya.Lakini huyu jamaa wa CCM ameprove wrong.Anachojua Nape ni taarab.Siku moja alisema kwamba ataimba taarabu zake kwa sana ilimradi tu awakere CHADEMA.Kijana ukibehave kama Nape ujanani,uzeeni utakuwa mchawi.[/QUOTE]
 
Chadema wanasumbuliwa na Jinamizi la kutokuamini kama wamepigwa Igunga! Mikwala ilikua kibao maneno kibao utasikia
1.Chadema yaiteka Igunga
2. Dr Slaa aiteka Igunga
3. Chadema njia nyeupe Igunga
4.Ushindi wanukia kwa Chadema Igunga
5.Chadema wana subiri kumwapisha Kashindye!
6. Na loongo longo kibaaaooo!
 
Wanajamvi,
USHABIKI MWINGINE MATATIZO SANA! MATUSI YANAYOSEMWA HAPA KISA NI KIMOJA TU CDM WAMAUMIZWA NA AINA YA SIASA NINAYOENDESHA BASI! HIVI MNACHEZA MPIRA TIMU PINZANI INAWEKA MCHEZAJI ASIYEKUWA NA UWEZO KABISA HALAFU NYIE MNAANZA KUWAAMBIA WAMTOE WAWEKE MWENYE UWEZO INAINGIA AKILINI HII??? KWANINI MSITUMIE UDHAIFU HUO KAMA KWELI UPO KUJENGA TIMU YENU ISHINDE???? BADALA YAKE UZOEFU UNAONYESHA HUWA INATUMIKA NGUVU KUBWA KUTAKA MCHEZAJI MWENYE MADHARA KWENU ASICHEZE ILI MCHEZO UWAENDEE AFADHALI... UKIONA MATUSI NA VISHAWIWSHI KUJARIBU KUONYESHA NAPE ANAVYOVURUGA UTADHANI WANA MAPENZI YA DHATI NA CCM.. CHANGAMOTO KWENU KAMA NI WA KWELI NYAMAZENI TUMIENI UDHAIFU HUO KUVIJENGA VYAMA VYENU NA KUBOMOA CCM... VINGINEVYO HAMNA TOFAUTI NA MACHOZI YA MAMBA ....

QUOTE=Gracious;2618713]Wanajamvi,
Unajua ukiwa unatetea kitu ambacho kimekosa mvuto au hakuna hoja unayoweza kuisimamia kutetea kitu hicho.Itakulazimu kutumia mbinu zingine ambazo hazina mashiko kukitetea kitu hicho.CCM Haina mvuto na wameishiwa sera za kuwashawishi wananchi.Hata kama ungekua na Phd lazima tu utaanza kuwa mropokaji.Kwani mnamuonaje yule mzee mkama,i thought is the smart guy,lakini amekuwa Kiongozi wa ngazi za juu CCM kwa takribani mwaka mmoja tu lakini mmeona jinsi nanavyoropoka.

Janga kubwa liko kwa huyu kijana Nape,Inadhaniwa kwamba vijana wana fikra mpya.Lakini huyu jamaa wa CCM ameprove wrong.Anachojua Nape ni taarab.Siku moja alisema kwamba ataimba taarabu zake kwa sana ilimradi tu awakere CHADEMA.Kijana ukibehave kama Nape ujanani,uzeeni utakuwa mchawi.
[/QUOTE]
Wewe subiri mpaka uanze kuvimba ngozi kama Mwakyembe ndiyo utajua CCM ni nini!
 
Kila mtanzania anajua ushindi mlioupata Igunga ni ushindi wa kuiba tu! Inashangaza sana unaweza kuwa na ujasiri wa kujivunia kitu cha wizi...!
 
Wanajamvi,
USHABIKI MWINGINE MATATIZO SANA! MATUSI YANAYOSEMWA HAPA KISA NI KIMOJA TU CDM WAMAUMIZWA NA AINA YA SIASA NINAYOENDESHA BASI! HIVI MNACHEZA MPIRA TIMU PINZANI INAWEKA MCHEZAJI ASIYEKUWA NA UWEZO KABISA HALAFU NYIE MNAANZA KUWAAMBIA WAMTOE WAWEKE MWENYE UWEZO INAINGIA AKILINI HII??? KWANINI MSITUMIE UDHAIFU HUO KAMA KWELI UPO KUJENGA TIMU YENU ISHINDE???? BADALA YAKE UZOEFU UNAONYESHA HUWA INATUMIKA NGUVU KUBWA KUTAKA MCHEZAJI MWENYE MADHARA KWENU ASICHEZE ILI MCHEZO UWAENDEE AFADHALI... UKIONA MATUSI NA VISHAWIWSHI KUJARIBU KUONYESHA NAPE ANAVYOVURUGA UTADHANI WANA MAPENZI YA DHATI NA CCM.. CHANGAMOTO KWENU KAMA NI WA KWELI NYAMAZENI TUMIENI UDHAIFU HUO KUVIJENGA VYAMA VYENU NA KUBOMOA CCM... VINGINEVYO HAMNA TOFAUTI NA MACHOZI YA MAMBA .....
[/QUOTE]

nape wewe ukijana mwenzangu lakini hadi sasa nahesabu wewe ni kama mchawi, jaribu kufanya siasa zisizokuwa na mipasho wala vitisho kwa vijana, nchi hii sio mali ya bibi yako wala babako wala CCM, hii ni nchi ya watanzania.
 
Huyo anajitapa na "siasa ninayoendesha", ngoja wamkung'ute na Polonium halafu na yeye apelekwe India kwa "matibabu zaidi".
 
chadema wanasumbuliwa na jinamizi la kutokuamini kama wamepigwa igunga! Mikwala ilikua kibao maneno kibao utasikia
1.chadema yaiteka igunga
2. Dr slaa aiteka igunga
3. Chadema njia nyeupe igunga
4.ushindi wanukia kwa chadema igunga
5.chadema wana subiri kumwapisha kashindye!
6. Na loongo longo kibaaaooo!

magamba mnahanya.omba ubalozi wa nyumba kumi!
 
Wanajamvi,
USHABIKI MWINGINE MATATIZO SANA! MATUSI YANAYOSEMWA HAPA KISA NI KIMOJA TU CDM WAMAUMIZWA NA AINA YA SIASA NINAYOENDESHA BASI! HIVI MNACHEZA MPIRA TIMU PINZANI INAWEKA MCHEZAJI ASIYEKUWA NA UWEZO KABISA HALAFU NYIE MNAANZA KUWAAMBIA WAMTOE WAWEKE MWENYE UWEZO INAINGIA AKILINI HII??? KWANINI MSITUMIE UDHAIFU HUO KAMA KWELI UPO KUJENGA TIMU YENU ISHINDE???? BADALA YAKE UZOEFU UNAONYESHA HUWA INATUMIKA NGUVU KUBWA KUTAKA MCHEZAJI MWENYE MADHARA KWENU ASICHEZE ILI MCHEZO UWAENDEE AFADHALI... UKIONA MATUSI NA VISHAWIWSHI KUJARIBU KUONYESHA NAPE ANAVYOVURUGA UTADHANI WANA MAPENZI YA DHATI NA CCM.. CHANGAMOTO KWENU KAMA NI WA KWELI NYAMAZENI TUMIENI UDHAIFU HUO KUVIJENGA VYAMA VYENU NA KUBOMOA CCM... VINGINEVYO HAMNA TOFAUTI NA MACHOZI YA MAMBA ....

Nape.
Uko sahihi kwamba timu inatakiwa kutumia udhaifu wa mchezaji wa timu pinzani ili kuweza kushinda na kufunga magoli Mengi.Lakini,kumbuka kama unacheza mpira wa miguu mwenzio anatumia mikono na refaree anapeta,lazima utakuwa mchezo usio fair.Kama mnacheza mpira wa miguu wote chezeni mpira wa miguu kwa kufuata sheria zote zinazo uhusu,hapo mshindi akipatikana tutasema ni mshindi anaestahili.Wewe mwenyewe ukibaki peke yako unajua jinsi gani kuna fitna mlizozitumia hadi walau kupata kaushindi cha Igunga.Ila kwa sababu hutaki kuukiri ukweli utabaki kukomaaa tuuu kama yule waziri wa Saadam Hussein aliyekuwa anatamba kuwazika Wamarekani wote Baghdad.

Nape;
Umesema kwamba CHADEMA wangetumia basi udhaifu wako kujipandisha chat' Hii inaonyesha jinsi gani ulivyo poor katika ku analyse mambo.Hivi katika Post yangu hapo juu,huoni kwamba tumekukosoa,huoni kama ni mtaji huo kwa wapinzani wako.Nape,nahisi kwamba baada ya kupewa hiyo nafasi uwezo wako wa kufikiri umeshuka sana.Nakumbuka kwenye Kura za maoni za Ubungo ulikuwa na mvuto kwa wananchi,fitna za huko kwenu ndizo zilimfanya Fatma awapite wewe na Shamsa ,kwa mtindo wenu huo wa kutumia pesa kuhonga wapiga kura .Nina uhakika sasa hivi ukienda kwa wananchi kuomba jimbo lolote lile hupati kitu.Sababu ni kuwa umeshindwa kutumia nafasi yako ili kuonekana kama m2 mwenye busara.Anyway lakini sio kosa lako,ni kwamba ukiwa CCM akili yako inabadilika.Sasa hivi umekuwa mropokaji zaidi ya mzee Yusuph Makamba.And this is how we capitalize on your weakness,Sooner no soon you will see kwamba nchi hii ina wenyewe ambao ni Watanzania na sio CCM.
 
Wanajamvi,
USHABIKI MWINGINE MATATIZO SANA! MATUSI YANAYOSEMWA HAPA KISA NI KIMOJA TU CDM WAMAUMIZWA NA AINA YA SIASA NINAYOENDESHA BASI! HIVI MNACHEZA MPIRA TIMU PINZANI INAWEKA MCHEZAJI ASIYEKUWA NA UWEZO KABISA HALAFU NYIE MNAANZA KUWAAMBIA WAMTOE WAWEKE MWENYE UWEZO INAINGIA AKILINI HII??? KWANINI MSITUMIE UDHAIFU HUO KAMA KWELI UPO KUJENGA TIMU YENU ISHINDE???? BADALA YAKE UZOEFU UNAONYESHA HUWA INATUMIKA NGUVU KUBWA KUTAKA MCHEZAJI MWENYE MADHARA KWENU ASICHEZE ILI MCHEZO UWAENDEE AFADHALI... UKIONA MATUSI NA VISHAWIWSHI KUJARIBU KUONYESHA NAPE ANAVYOVURUGA UTADHANI WANA MAPENZI YA DHATI NA CCM.. CHANGAMOTO KWENU KAMA NI WA KWELI NYAMAZENI TUMIENI UDHAIFU HUO KUVIJENGA VYAMA VYENU NA KUBOMOA CCM... VINGINEVYO HAMNA TOFAUTI NA MACHOZI YA MAMBA ....

QUOTE
wewe nape ndo maana umeolewa badala ya kuoa.Mpaka leo unakaa kwa baba mkwe.Bahati nzuri umepata cheo wakati ccm iko inaongozwa na wazinzi,walevi na mafisadi.Enzi za mwl usinge pata hata ubalozi wa nyumba kumi.Kwa kuwa wewe si mtoto nachelea kukuweka kwenye kundi la watu wenye mtindio wa akili kwa sababu unavyobehave si kama mtu mwenye akili timamu
 
Back
Top Bottom