Nape: Wapinzani wachukue watuhumiwa ufisadi CCM

sitakaa niipende ccm labda baba wa taifa afufuke tena:
1. Zinazofanyika sasa ni mbinu chafu za kuwasahaulisha watu ukweli, haitakaa iingie akilini mwa watz kwamba eti jk sasa anawachukie hawa akina RACHEL ili hali ndo wamemweka hapo alipo kwa pesa zao? Thubutu yake hanaubavu zaidi ya kuwandaganya watu wasiojua. Na hata kama atathubutu basi watatumiwa wachumia tumbo kama akina Nape kufikisha ujumbe ili hali yeye amejikalia pembeni. RACHEL ndo mapaka wa ccm waliobaki ccm ni vipanya tu, je ni nani atamfunga paka kengere? Nape na Mukama? Hawataweza haya ni maji marefu kwao tusubiri tuone.
2. Ccm ya leo ni kwa faida ya vigogo,watoto wao na vibaraka wao tu. Hakuna mwana ccm anayetuhurumia sisi watanzania wa kawaida labda tusubiri wakati wa uchaguzi tuhongwa Tshirt na kofia na fedha kidogo kisha wao waendelee na kuitumbua nchi yetu. Tukiendelea na CCM we will nevere go anywhere as a nation, ni kikundi kidogo tu cha wana ccm ndo kitapiga hatua mia mbele ili hali watz wakiendelea kuchapa miguu mpaka yesu arudi!
3. Mimi siwezi kuiamini ccm tena maana ccm are not honest, huwatendea watu unyama siku zote maadamu wamekaa kimya labda CDM waibuke na kupiga kelele ndo wanaanza kujikomba kwa wananchi, kama si CDM haya mambo ya mafisadi tusingekaa tuyasikie. Go everywhere in this country, everything is messy nothing is moving and still jk doesn't know what to do he is just biz na kujivua gamba la chama ili hali watz wanataka serikaili ifanye kazi siyo ccm! He doesnot see because him and his familly are enjoying the cake of this nation. It is very sad, go to hospitals, go to courts go to government offices rushwa imetamalaki huna pesa huna haki!

4. Nape ni nani jamani tusiwe wajinga huyu dogo anatengenezea tumbo lake
wala hamna anachowahurumia watanzania. He is just another makamba in a different suit. Anadhani mafisadi wa kitoka ccm yeye anaweza kuibuka na kupata nafasi maana kwa mambo yalivyokaa hata ubunge tu ameshindwa.
 
sitakaa niipende ccm labda baba wa taifa afufuke tena:
1. Zinazofanyika sasa ni mbinu chafu za kuwasahaulisha watu ukweli, haitakaa iingie akilini mwa watz kwamba eti jk sasa anawachukie hawa akina RACHEL ili hali ndo wamemweka hapo alipo kwa pesa zao? Thubutu yake hanaubavu zaidi ya kuwandaganya watu wasiojua. Na hata kama atathubutu basi watatumiwa wachumia tumbo kama akina Nape kufikisha ujumbe ili hali yeye amejikalia pembeni. RACHEL ndo mapaka wa ccm waliobaki ccm ni vipanya tu, je ni nani atamfunga paka kengere? Nape na Mukama? Hawataweza haya ni maji marefu kwao tusubiri tuone.
3. Ccm ya leo ni kwa faida ya vigogo,watoto wao na vibaraka wao tu. Hakuna mwana ccm anayetuhurumia sisi watanzania wa kawaida labda tusubiri wakati wa uchaguzi tuhongwa Tshirt na kofia na fedha kidogo kisha wao waendelee na kuitumbua nchi yetu. Tukiendelea na CCM we will nevere go anywhere as a nation, ni kikundi kidogo tu cha wana ccm ndo kitapiga hatua mia mbele ili hali watz wakiendelea kuchapa miguu mpaka yesu arudi!
4. Mimi siwezi kuiamini ccm tena maana ccm are not honest, huwatendea watu unyama siku zote maadamu wamekaa kimya labda CDM waibuke na kupiga kelele ndo wanaanza kujikomba kwa wananchi, kama si CDM haya mambo ya mafisadi tusingekaa tuyasikie. Go everywhere in this country, everything is messy nothing is moving and still jk doesn't know what to do he is just biz na kujivua gamba la chama ili hali watz wanataka serikaili ifanye kazi siyo ccm! He doesnot see because him and his familly are enjoying the cake of this nation. It is very sad, go to hospitals, go to courts go to government offices rushwa imetamalaki huna pesa huna haki!

5. Nape ni nani jamani tusiwe wajinga huyu dogo anatengenezea tumbo lake
wala hamna anachowahurumia watanzania. He is just another makamba in a different suit. Anadhani mafisadi wa kitoka ccm yeye anaweza kuibuka na kupata nafasi maana kwa mambo yalivyokaa hata ubunge tu ameshindwa.
 
Mwanasiasa huyo machachari alifafanua kwamba, CCM ni chama kitukufu kilichojengwa juu ya misingi ya maadili na Baba wa Taifa, marehemu Mwalimu Julius Nyerere, hivyo hakitakumbatia watu wasiokuwa na maadili.

"Ndio maana leo hii kanisa linataka kumfanya Mwalimu Nyerere kuwa mwenye heri, linajua amefanya mambo mengi mazuri. Mwalimu alijenga misingi ya uadilifu ndani ya chama, sasa leo hii watu wasio waadilifu hawawezi kuwa na nafasi," alisema Nnauye.

Mpaka sasa Nape ameifanya kazi yake vizuri sana.

Mnyika anapaswa ajiandae vizuri maana kwa publicity hizi Nape akiingia kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge wa Ubongo mwaka 2015, mpambano wake utakuwa si mchezo!!
 
Kama CCM imewathibitisha kuwa hawa ndio wanaokichafua na kukitia doa chama si iwafukuze mara moja?...hizi kelele zote za nn?
 
Mpaka sasa Nape ameifanya kazi yake vizuri sana.

Mnyika anapaswa ajiandae vizuri maana kwa publicity hizi Nape akiingia kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge wa Ubongo mwaka 2015, mpambano wake utakuwa si mchezo!!

Ila 2015 bado ni mbali sana mkuu, na huwezi jua hao watakaotemwa ccm watakuja na mkakati wa kujihami au wa kulipa kisasi.
 
wenye ccm yao kazini, toa mamluki wote! mafisadi walikubania kuanza kazi hiyo!

Mkuu hata kuhodhi mali ya umma kwa manufaa binafsi ni ufisadi pia..CCM kama chama imejimilikisha viwanja vyote vikubwa vya michezo ukitoa wa taifa...huu ni ufisadi kwani viwanja vile vilijengwa kwa resouces za umma hivyo vilipaswa kurudishwa kwa umma ili mapato yake yawasaidie watanzania wote na siyo CCM peke yake
 
sure, lakini mkuu watu wale walizidi na wao waache sukari ziwapande!
nchi waliifanya kama wameianzisha wao.
 
Nape ni muda wake wa kuwachapa bakora wale waliomfurusha katika UVCCM kama mbwa! Sina hakika kama analipa kisasi au bado ana nia ya kweli ya kupinga ufisadi. Though i doubt on the support he is getting from other ccm members regarding UFISADI.

Anaposema walioko kwenye sekretarieti watatakiwa kuachia nafasi zao kwingine anamaanisha hata Ubunge?
 
Back
Top Bottom