Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
huyu nae toka amwangwe kwenye uwaziri anawashwa washwa tuMbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter swali aliloulizwa kutoka kwa Wananchi kuwa Bombardier ndio nini? Na watafaidikaje kuwepo kwao vijijini? Au kwa ajili ya mji tu!??
"Watu hawa wanapambana na hali zao! Waliniuliza Bombardier ndio nini? Na sie wa vijijini tutafaidikaje au ni kwenu mjini tu!??".