Tutawapelekea madafu, nazi, na nguruKuna jamaa anasema eti kuna siku Tanzania hii ya leo itatoa misaada kwa wazungu!! kweli???? kweli?? Mimi naona tupambane tu na hali yetu, wazungu watabakia wazungu tu!!
Mkutano wa wenzetu ambao kuna siku tutawasaidia pesa!!