gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Hili ni kombora ambalo Mh Nape amelirusha kwa upinzani jana bungeni alipokua akichangia kikao cha budget ya wizara ya mambo ya ndani.
Ukigeugeu huu kwa vyovyote ni wa upinzani kula matapishi yao kwa kumpokea Lowassa waliomuita fisadi kwa kipindi kirefu.
Mh Nape aliwaambia wapinzani kwa ukigeugeu huu sio tu 2020 bali wasahau CCM kuondoka madarakani.