1.nchi inaongozwa na chama gani?
2.chama chako kimeongoza muda gani?
3.mmetunga sera gani za kudumu za kuwaletea maisha watanzania ktk rasilimali zote?
4.kwanini maisha ya maganzo ni magumu tangu almasi ipo hadi mashimo yanayovunja miguu na ngombe?
5.pembe zilifikaje china?
6.kwanini watu wanazungumuzia udini leo kuliko wakati uliopita?
7.kwanini unalalamika wakati wewe ni kiongozi?
8.kwanini mnafanya maamuzi kama muanaongoza ngumbalu?
9.akinani ulikuwa unawalenga wajivue gamba?
10.je ulifanikiwa kuwavua?
11.kama ulikwama unafanyanini hapo ulipo?
12.je unaitambua katiba iliyopo?kama ndio mbona unawapngia polisi cha kufanya?
13.je una uwezo wa kuchunguza zaidi ya vyombo vya dola?
15.twiga walipandaje ndege/meli?
16.mkoa wa mara wanazungumziaje kuhusu migodi iliyopo?
17. Kahama walikuambiaje kuhusu dhahabu?18. Umewaandaje wana ccm kukabithi madaraka kwa amani?
19.je amani itavunjwa na chadema au ccm?
20.je uko tayari kumwaga damu ili ccm ibaki madarakani?naomba majibu ingawa uko bize kuwahadaa watanzania.darasani kwenu wewe ndiye ulikuwa na akili peke yako.wapo ambao walikuwa shule zingine kama mimi sikubali