Nape, wa kutuwakilisha kimataifa, wako Mwenge wanasuka dada zetu rasta!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,636
2,725
Ningependa kutumia nafasi hii kumfungua macho waziri wetu mpya wa michezo jinsi pontential vipaji vya riadha vinavyopotea pale Mwenge na kwenye mageti ya ulinzi.

Hawa ndugu zetu hawa wana vipaji vingi sana kuanzia kwenye masuala ya ulinzi, mifugo, na hata ususui, lakini pia kama wangepata exposure ya kutosha wangeweza kuliinua taifa kwenye fani ya riadha.
Hawa wenzetu genetically hawana tofauti na Wakenya au Waethiopia ambao wanatamba sana kwenye mbio za kimataifa.

Ninakushauri waziri wetu mpendwa uweke initiative ya kuanzisha kambi ya riadha kwa vijana wa kabila hili wenye umri wa kuanzia miaka kumi na sita hadi ishirini na tano. Ukichekecha chekecha vizuri, huwezi kukosa crimu ya wana riadha ishirini ambao wakipiewa training na lishe bora wanao uwezo mkubwa wa kuliwakilisha taifa kwenye mchezo huu.

Nakuaomba uliangalie jambo hili kwa marefu na mapana ikiwa ni moja ya opportunity ya kukuza ajira hasa ya vijana wa kabila hili kwenye fani ya michezo, ukianza na huu mchezo wa riadha...

Nawasilisha hoja.
 
Back
Top Bottom