assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
nimepitia baadhi ya vyombo vya habari vikimnukkuu NAPE NNAUYE akiwatuhumu CHADEMA kuhusika na kulipuliwa kwa bomu na kusema anao ushahidi vilevile jana MH MBOWE akihojiwa ITV alisema polisi wanahusika wakitumwa na serikali sasa mimi naona ushahidi huo ungepelekwa POLISI na sio kwenye vyombo vya habari kwani suala hili ni zito na linagusa usalama na ustawi wa wananchi.