Nape vs Chiligati

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
CCM chini ya Chiligati:
kilishuka kutoka 80% mwaka 2005 hadi 61% mwaka 2010 ambayo ni pungufu 19%

CCM chini ya Nape(kwa sample data za Igunga):
kimeshuka kutoka 35 000 mwaka 2010 hadi 26 000 mwaka 2011 ambayo ni pungufu asilimia 25.71%.

Na kwa mtindo huu wa Nape wa kuzungumza kwa kujaza povu mdomoni na kutokwa na majasho kwapani huku akipiga vijembe na kejeli, bila kujenga hoja, kama nilivomuona leo ITV akiwa Manzese, mwisho wa CCM umekaribia sana.
 
Siku tutakayopata Uhuru wetu Lazima Nape awekwe chini ya Ulinzi kwa kauli zake za kuuzi Watanzania
 
huyu gay mbona anawaumiza kichwa ivo ana jipya yeye na uyo mwigulu wasubiri 2015 sianaenda kugombea ubungo uko ndo utakuwa mwisho wake wa kulopoka.
 
Back
Top Bottom