MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Mtu unapata tabu sana kuona mtu aliyepewa wadhifa mkubwa kuwatumikia Watanzania bila kujali itikadi,rangi na dini zao. Mh Nape unatumia lugha isiyoeleweka kutaka kupotosha ukweli kua kuna mkono wako kwa kiasi kikubwa sana kutotaka kusikia bunge likiwa live!Kitendo chako cha kutetea suala hilo kimepingwa kila kona ya nchi na dunia, hili pia ulionekana ulikilipinga kabisa kabla hata ya kua mbunge au waziri! Inamaana hapa ni kama sasa umepewa rungu kumaliza! inamaana wewe kasoro ya unachokiamini peke yako kua ni sahihi hujaiona?
SIO KWELI KUA BUNGE LINAONESHWA LIVE IPASAVYO!
Hivi Nape kwanini unataka kutona Watanzania wote wana akili zinazofanana? Unatuambia eti wanapotoshwa kwa hoja ya ule muda mdogo kua bunge lionaoneshwa asubuhi yaani muda wa saa 3-4 asubuhi yaani muda wa saa moja tu na saa 4 -6usiku! Kwa akili za kawaida huo muda wa saa moja ya asubuhi na hayo masaa ya usiku ambopo ni muda wa kulala utafananisha vipi na muda wa saa 3 asubihi-7mchama na saa 11-1jioni? huoni tofauti ya masaa hayo? Kwanini kwa wadhifa ulionao Mh Nape hausemi ukweli brother? Kama huo ulikua msimamo ni wa chama kama tunavyohisi lakini elewa kua watanzania wote pasipo kujali itikadi zao wamechukizwa na kauli zako.
Muda wa saa 3 asubuhi-7 mchana na na Saa 11 jioni-1jioni ukijumlisha utapata masaa 7 jumla kwa utaratibu wa kawaida kama muda wa kikao haujaonezwa kwa sababu flani! Cha ajabu kipindi cha live hua ni lisaa limoja tu kwa siku yaani kipindi cha maswali na majipu, huo muda wa usiku ambao ni recorded event na ni edited unaweza kuufananisha na muda wa masaa 7? Yaani masaa 7 unaedit muda wote na kuufupisha kua masaa 2 na kuwaambia watu wasilale waangalie usiku really?
KWANINI NAPE ANASAHAU NA KUZIGEUKA KAULI ZAKE MWENYEWWE?
Mimi sijajua style ya huyu rafiki yangu ya kuiongoza wizara aliyonayo! Sijajua kama kweli waziri wangu huyu hua anatofaitisha dola na chama!
Nape aliwahi kusema kwa kinywa chake wakati akitoa kauli ya serikali bungeni kwamba muda wa asubuhi ni muda ambao watu wako makazini kwa hiyo bunge haliwezi kuoneshwa muda huo kwa sababu hiyo leo hii anasema bunge linaoneshwa live saa 3- 4asubuhi!Sasa swali langu ni kwamba huu muda wa saa3-4 watu hua hawako makazini?Je, huo muda hua hauna gharama?
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kua kiongozi mzuri ni yule anayesikiliza hoja za wananchi muda wote bila kujali itikadi zao wala makabila au Dini zao! Lakini kama ni kweli huo ndio msimamo wako basi hijawasikiliza wananchi na huwatendei haki ndio maana hawakuelewi! Kwahiyo kwa hiyo kauli ya baba wa taifa huu sio aina ya uongozi bora, ni ikiukaji tu wa haki na matakwa ya wananchi.